Mawaziri Wastaafu Wakutana
Leo Prof. Mark Mwandosya, aliyekuwa Kamisha, Katibu Mkuu, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Waziri wa Nchi(Mazingira), Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Waziri wa Nchi(Ofisi ya Rais-Kazi Maalum)...
View ArticleSUZA and China's Southwest University (SWU) join hands in educational related...
The State University of Zanzibar (SUZA) and Southwest University (SWU) of Chongqing, China have on Thursday 4th May, 2017 established a tie up intended to maintain friendship for the purpose of...
View ArticleMAMA SAMIA AWATAKA WAKUNGA KUFANYA KAZI KWA BIDII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameziagiza Halmashauri zote nchini zihakikishe zinajenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa afya hasa maeneo ya vijijini na...
View ArticleDr. Ntuyabaliwe Foundation yahimiza wanafunzi kusoma vitabu
Wananafunzi wa Shule za Msingi jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla, wametakiwa kujenga utamaduni wa kupenda kusoma vitabu vikiwemo vya kiada na ziada, ili waweze kupanua wigo wa uelewa wa mambo...
View ArticleSAFARI ZA ATCL MKOANI TABORA ZAZINDULIWA RASMI
Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), imeanzisha safari zake kutoka Tabora kwenda mikoa ya Dodoma na Dar es Salaam kwa lengo la kurahisisha huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo katika mikoa hiyo...
View ArticleSINGIDA INAZALISHA NUSU YA ASALI YOTE INAYOZALISHWA NCHINI; WAZIRI MKUU...
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda Mkoa wa Singida kwa kuzalisha nusu ya asali yote inayopatikana nchini Tanzania. Mheshimiwa Mizengo Kayanza...
View ArticleISEMAVYO SHERIA YA MIPANGO MIJI NA. 8 YA MWAKA 2007
Prof. John Lupala, Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka wanachi kuzingatia Sheria Na. 8 ya mwaka 2007 kuepuka adha zinazotokana na...
View ArticleTFF, WILDAID WASAINI MAKUBALIANO KUPIGA VITA UJANGILI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Taasisi ya kupigania uhai wa maisha ya wanyama wa mbugani ya Wildaid Alhamisi Mei 4, mwaka huu kwa pamoja wamesaini makubaliano ya vita dhidi ya ujangili....
View ArticleBREAKING NYUZZZZZZ....: WANAFUNZI ZAIDI YA 20 NA WALIMU WAO WADAIWA KUPOTEZA...
Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa kuna ajali imetokea muda huu katika eneo la Rhotia Wilaya ya Karatu Mkoani Manyara, iliyohusisha Basi lililokuwa limebeba wanafunzi wa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa...
View ArticleMWAKYEMBE AWASIHI WANAMICHEZO KUPATA CHANJO YA HOMA YA MANJANO KABLA YA KUSAFIRI
NA Ally Daud –WAMJW Dodoma. WAZIRI wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewasihi wanamichezo wa Tanzania wapate chanjo ya homa ya manjano kabla ya kusafiri ili kujikinga dhidi...
View ArticleLIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA LEO NA KESHO KWA JUMLA YA MICHEZO SITA
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, inatarajiwa kuendelea leo Jumamosi Mei 6 na Jumapili Mei 7, mwaka huu kwa jumla ya michezo sita.Kwa mujjibu wa ratiba, michezo ya Jumamosi kutakuwa na michezo mitano...
View ArticleUPDATE: TAARIFA YA KAMANDA WA POLISI MKOANI ARUSHA KUFUATIA AJALI YA GARI...
Zoezi la uokoaji kwa wanafunzi hao likiendelea. Zoezi la uokoaji likiendelea. Majina ya Baadhi ya wanafunzi waliotambulika mpaka sasa.
View ArticleVODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI
Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akipongezwa na Meneja Ruzuku wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald,kuhusiana na sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika...
View Article