Rais Rottary aikosoa serikali adhabu ya viboko mashuleni
Adhabu za viboko kwa watoto imeelezwa kuwa inachangia kwa kiasi kikubwa woga na kuwafanya washindwe kuwa wadadisi hali ambayo ina athari kubwa kwao kitaaluma.Rais wa Rottary Club Mzizima, Ambroce...
View ArticleBalozi Kamala akutana na Wajumbe wa Bodi ya Dinka Foundation ya Uholanzi
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai ya rangi ya taifa) akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Dinka Foundation ya Uholanzi. Asiye na tai ni Mhe. Leo Bellekom Mwenyekiti wa...
View Articlemajeruhi wawili wa mlipuko wa bomu arusha wapelekwa kenya kwa matibabu zaidi
Mahmoud Ahmad, ArushaSerikali imewapeleka nchini Kenya Vijana wawili waathirika wa mlipuko wa mabomu juzi Arusha kwenda kupatiwa matibabu zaidi kwenye hospital ya Agakhan ya jijini Nairobi.Mkuu wa mkoa...
View ArticleKUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
Waziri waNchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohd kulia akibadilishana mawazo na Waziri wa Afya Juma Duni Haji nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya mji wa Zanzibar....
View ArticleMZEE ABOUD JUMBE ATIMIZA MIAKA 93 YA KUZALIWA KWAKE
NA RAYA HAMAD - MAELEZO ZANZIBARImeelezwa kuwa moja kati ya neema alizopewa mwanaadamu ni umri mrefu hivyo ni wajibu wa kila mmoja wetu kuutumia vyema uhai wake kwa kutenda mema na kushukuru kila siku...
View ArticleMECHI DHIDI YA IVORY COAST YAINGIZA MIL 500/-
Mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia, Kundi C, Kanda ya Afrika kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Ivory Coast (The Elephants) iliyochezwa jana (Juni 16 mwaka huu) imeingiza sh. 502,131,000 kutokana na...
View ArticleVodacom Yawatembelea wake Wateja Mbagala
Mkazi wa Mbagala Bi.Halima Ibrahim(kushoto)akimweleza ofisa wa Vodacom Tanzania, Pasco Magesa (katikati) jinsi anavyonufaika na Promosheni ya Cheka Nao. Vifurushi vya Cheka Nao vinawawezesha wateja...
View ArticleSEMINA YA MEYA, WENYEVITI WA WILAYA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Bw. Mwanga Ekzaudi ambaye ndio alikuwa mgeni rasmi katika Semina hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi Bw....
View ArticleWajasiliamali wa Safari Wezeshwa wakabidhiwa vifaa vyao
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam,Edward Otieno(kulia) akimkabidhi mjasilamali,Pinie Mwasha mashine ya maabara (Outclave sterilizer) wakati wa zoezi la kukabidhi vifaa vya ruzuku kwa wajasiliamali...
View ArticleBENKI YA NMB YAZINDUA CHAP CHAP AKAUNTI KWA AJILI YA WATANZANIA WASIO NA AKAUNTI
Benki ya NMB imeendelea kuwa kinara katika kubuni na kuboresha huduma mbali mbali za kibenki, ili kuwawezesha wateja wake kupata unafuu na urahisi wa upatikanaji wa huduma za kibenki nchini Tanzania....
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA 2013, YAFUNGULIWA RASMI...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Utumishi wa Umma Barani Afrika Mh. Celina O. Kombani (MB), akihutubia katika sherehe za...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA WATANGAZA UTALII WA TANZANIA KWENYE USIKU WA SAN DIEGO ZOO
Kwa mara ya kwanza Tanzania imeshiriki kwenye usiku wa San Diego Zoo, Jimboni California kwa kutangaza utalii wa wanyama Tanzania na vitutio vyake tarehe 15 Juni 2013.Tanzania iliwakilishwa na Balozi...
View ArticleIDD AZAN, HALIMA MDEE WAJIANDAA KUWAKABILI WOLPER NA JB
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni, wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao ya ndondi katika Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Julai 7 katika Uwanja wa...
View ArticleUholanzi Kuendelea Kusomesha Watanzania - Balozi Kamala
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi ya taifa) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Uholanzi (NUFFIC) Bwana Freddy Weima aliye kushoto kwa...
View ArticleMradi wa Uendelezaji Miji Tanzania (TSCP), umeshamiri kwa kiwango kikubwa
Mradi wa Uendelezaji Miji Tanzania (TSCP), ambao upo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) ambao ulizinduliwa rasmi 2010, umedhihirisha jinsi ulivyoshamiri...
View ArticleWaziri Kabara katika Kikao cha 102 cha "ILO" Geneva -2013
Waziri wa Kazi na Ajira,Mhe. Gaudentia Mugosi Kabaka, akihutubia Kikao cha 102 cha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) kinachoendelea kufanyika, Geneva Uswisi. Kikao hiki...
View Article