MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AWAJULIA HALI MAJERUHI WA BOMU LA ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa picha ya X-Ray, ya mmoja kati ya majeruhi waliolazwa kwenye Hospitali ya Mount Meru, Joseph Anthony, mkazi wa...
View ArticleJapan kuikopesha Tanzania mkopo wa riba nafuu
Waziri wa Fedha Dkt .William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada(kulia)wakibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi bilioni...
View ArticleVodacom yapanua wigo huduma na ajira kwa Watanzania
Mkuu wa Idara ya Mauzo na Maduka wa Vodacom Tanzania, Bi.Upendo Richard(kulia)akimkabidhi funguo Meneja wa duka jipya la Vodacom lililopo Millennium Tower ghorofa ya kwanza Bi.Miriam Minja,ikiwa ni...
View ArticleKIKAO CHA 38 CHA MKUTANO WA FAO 15-22 JUNI 2013
Mhe. Eng. Christopher Chiza, Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, leo asubuhi tarehe 18 Juni 2013 ametoa hotuba yake, akijadili hali ya chakula na kilimo duniani katika Kikao cha 38 cha Mkutano wa FAO...
View ArticleKozi ya makocha Dar kufungwa Jumanne
Baadhi ya makocha wakiwemo wachezaji wa zamani wakifuatilia mafunzo ya ukocha ngazi ya pili. Kocha mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage akitoa somo kwa makocha wanaoshiriki kozi ya ukocha ngazi ya...
View ArticleWashindi wapatikana mashindano ya ngoma za asili Mkoa wa Tabora
Mgeni rasmi katika mashindano ya ngoma za asili kwa Mkoa wa Tabora Mstahiki Meya wa manispaa ya Tabora Gulamhussein Remtullah akizungumza na wakazi wa Mkoa huo katika mashindano hayo chini ya udhamini...
View ArticleUjumbe wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania TMF watembelea ofisi za Changamoto
Afisa Uhakiki wa Miradi ya Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania(Tanzania Media Fund) TMF.Sanne Vanden Barg akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wa magazeti ya Changamoto na The Football wakati...
View ArticleUZINDUZI WA MFUMO WA MAWASILIANO WA KUFIKISHA TAARIFA ZA HALI YA HEW NA...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini kwa kushirikiana na Chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA) chini ya ufadhili wa shirika la ‘Climate Change Agriculture and Food Security CCAFS’ linalotekeleza mradi wa elimu...
View Articletaarifa ya msiba
FAMILIA YA MAREHEMU MWALIMU. PHILIP NHIGULA WA MALYA MWANZA WANASIKITIKA KUONDOKEWA KWA BABA YAO MPENZI MWALIMU PHILIP NHIGULA (86) ALIYEFARIKI TAREHE 17/06/2013 SAA SABA MCHANA HOSIPITALI YA TAIFA...
View ArticleJeshi la polisi Jijini arusha lakitaka Chama cha Chadema kutofanya shughuli...
Mahmoud Ahmad,ArushaJeshi la polisi limekipiga marufuku chama cha demokrasia na maendelo (CHADEMA) kufanya shughuli zozote za kuaga miili ya marehemu kwenye viwanja vya Soweto kwani zoezi la uchunguzi...
View ArticleMafunzo kwa Wakufunzi kutoka VETA na Taasisi za Teknolojia yafanyika jijini Dar
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Ngosi Mwihava akifungua mafunzo kwa wakufunzi wa Vyuo vya ufundi na Taasisi za Teknolojia kutoka Zanzibar na Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Kigoma na...
View ArticleMahojiano na binti "Mtanzania" aliyekamatwa na madawa ya kulevya Misri
KUMRADHI WADAU: LUGHA ILIYOTUMIKA KWENYE HABARI HII NI YA KIARABU NA KINA SIE LUGHA HIYO NI NOT RICABO,LAKINI MAHOJIANO NA MSICHANA HUYO AMBAYE NI MTANZANIA YAPO KWA LUGHA YA KIMOMBO,HIVYO MSIACHE...
View ArticleOXFAM KWA KUPITIA KAMPENI YA GROW YATOA WITO KWA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI...
Mwanasheria –Mshauri Mwelekezi katika Masuala ya Haki za Ardhi - Emmanuel Massawe akifafanua jambo kwa wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuwatangaza rasmi mabalozi wa OXFAM katika Kampeni ya GROW...
View ArticleWatanzania wa Nurnberg katika Afrika Festival Nurnberg,UJERUMANI
Watanzania waishio kwenye mji wa Nurnberg na sehemu za jirani na mji huo nchini Ujerumani,wameshiriki vyema Maonyesho ya Afrika Festival Nurnberg iliyofanyika kuanzia tarehe 13.-16. Juni 2013 mjini...
View Article