DK. KIGWANGALLA AWATUNUKU VYETI WASICHANA 25 KUTOKA SHULE MBALIMBALI NCHINI
Na Karama Kenyunko blogu ya jamiiNaibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangalla, amewatunuku vyeti wanafunzi wa kike 25 wa shule mbalimbali za...
View ArticleRC NCHIMBI AZIAGIZA HALMASHAURI ZA SINGIDA KUANZISHA MABWAWA YA UFUGAJI WA...
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ameziagiza halmshauri zote za Mkoa wa Singida kuanzisha mabwawa ya ufugaji wa samaki ili kutunza mazingira, kuongeza kipato na kuwa darasa la kufundishia...
View ArticleZiara ya Balozi Asha Rose Migiro Leicester Kuhamasisha Diaspora Kushiriki...
Hivi karibuni Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha Rose Migiro alifanya ziara mjini Leicester ambapo alikutana na Diaspora wa Tanzania waishio katika mji huo na vitongoji pamoja na kujionea...
View ArticleTSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA
Jumuiya ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini kupitia (TSSA) inayoundwa na Mifuko ya NSSF, PPF, LAPF, PSPF, GEPF, NHIF, WCF pamoja na ZSSF imefanya ziara ya kutembelea kiwanda cha nyama kilichopo mjini...
View ArticleWaKazi Wa Olasiti Jijini Arusha wasusia Maji wasema hayana ladha ,hayafai kwa...
Na .Vero Ignatus,Arusha.WAKAZI wa Olasiti jijini Arusha wamesusia maji yanayotolewa na Idara ya maji na kudai kuwa maji hayo hayafai kwa matumizi ya aina yoyote.Wakizungumza katika mkutano wa hadhara...
View ArticleMCHEZO HUU NI MGUMU SANA, HAUWEZI KUWA RAHISI KWETU - HIMID MAO
NAHODHA Msaidizi wa klabu ya Azam Himid Mao ‘Ninja’, ameweka wazi kuwa wana morali kubwa ya kupata matokeo mazuri kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Sports) dhidi ya Simba...
View ArticleMISS GRAND TANZANIA 2017 YAZINDULIWA DAR ES SALAAM LEO
Mratibu wa Shindano la Miss Grand Tanzania , Rasheedah Jamaldin akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar, juu ya uzinduzi wa shindano la urembo litakalo tambulika kama Miss Grand...
View ArticleMVIWATA WAIOMBA SERIKALI KUUNDA SHERIA KUWABANA WAFANYABIASHARA WA UFUTA
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Mtandao wa Vikundi vya Wakulima nchini (MVIWATA) umeiomba Serikali kutunga sheria ndogo ndogo zitakazowabana wafanyabiashara wa zao la ufuta ili wakulima wapate faida ya...
View ArticleMuhimbili Yampatia Msaada Anayefundisha akiwa kitandani
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa msaada wa baiskeli na matibabu kwa Mwalimu Joyce Kantande ambaye alipata ulemavu kutokana na ajali aliyoipata akiwa na umri wa miaka saba.Akizungumza wakati wa...
View ArticleAkana kujihusisha na kusafirisha wasichana nchini Kenya kwa ajili ya biashara...
Na Karama KenyunkoMshtakiwa Mary Amokowa, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imuachie huru kwani hakuhusika na tuhuma za kusafirisha wasichana 10 kutoka Tanzania Kwenda Kenya kwa ajili ya...
View ArticleMAHAKAMA YA ARUSHA YAMWACHIA HURU ALIYEKUWA MWENYEKITI UVCCM ARUSHA KWA KOSA...
Na Wankyo Gati,,ARUSHAMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, leo imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Lengai Ole Sabaya baada ya kuona upande wa Jamuhuri wazembe wa kushindwa...
View ArticleRAS TABORA AWATAKA WANAWAKE WASHIRIKIANE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
Na Tiganya Vincent-RS-TaboraKatibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt. Thea Ntara ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuungana na kushirikiana pamoja katika shughili za mbalimbali za ujasiriamali ili iwe...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA KUZINDUA MRADI WA MAJI KATIKA WILAYA...
Na Tiganya Vincent-RS-Tabora.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi wa maji safi na salama katika kijiji cha Mabama...
View ArticleRIP MY GUARDIAN ANGEL ISABELLA
I do not pretend to be older than many but the truth is that, I'm old enough to confess that life is indeed a mystery.I've seen a Landlord becoming a tenant of his former tenant before his death. I...
View ArticleRais Magufuli Awataka Watumishi 9932 Waliogushi Vyeti Kuondoka Maeneo Yao ya Kaz
Na Nuru Juma na Beatrice Lyimo-MAELEZO .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka watumishi 9932 waliogushi vyeti, kuondoka maeneo yao ya kazi haraka iwezekanavyo kabla...
View ArticleUTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Jane Kajiru akitoa maelekezo ya kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka...
View ArticleBENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI...
Benny Mwaipaja-WFM, DodomaMikoa mitatu ya Tanga, Morogoro na Iringa, imenufaika na kiasi cha shilingi bilioni 6.5 zilizotolewa kama mkopo na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) tangu benki hiyo...
View ArticleWAZIRI MAHIGA AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI KATIKA JAMHURI YA KOREA KWA MAFANIKIO
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharikialifanya ziara ya kikazi jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 24 Aprili 2017 kwa mwaliko kutoka...
View Article