KIKOSI KAZI CHA KUNUSURU IKOLOJIA YA MTO RUAHA CHATEMBELEA BONDE LA IHEFU
Wajumbe wa Kikosi cha Kitaifa cha kunusuru ikolojia ya Mto Ruaha (kikundi namba 2) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakisubiri kupanda boti ya upepo ili kutembelea eneo la bonde la Ihefu lililoko...
View ArticleRAIS MAGUFULI AONGOZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 53 YA MUUNGANO WA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika gari maalum na kuwapungia mkono Wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakati wa sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleWAAJIRI TEKELEZENI SHERIA YA KAZI ILI KULINDA HAKI ZA WAFANYAKAZI-NAIBU...
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Waajiri wote nchini yakiwemo makampuni ya Madini wametakiwa kutekeleza matakwa ya Sheria ya kazi kwa lengo la kulinda haki za wafanyakazi.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri...
View ArticleYANGA KUIFUATA MBAO BILA NYOTA WAO WATATU WA KIMATAIFA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MABINGWA watetezi wa kombe la Shirikisho la Azam HD Yanga wanaondoka jioni ya leo kuelekea Jijini Mwanz akwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya kombe hilo dhidi ya Mbao...
View ArticleMBUNGE WA KIBAHA VIJIJINI AENDELEA KUTEKELEZA AHADI KWA VITENDO JIMBONI KWAKE
Mbunge wa jimbo la Kibaha Vijijini Hamoud Jumaa (kushoto) akisaidia kushika kamba kwenye maandalizi ya awali ya ujenzi wa soko Mlandizi.Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha VijijiniMbunge wa Jimbo la Kibaha...
View ArticleWAZIRI UMMY ASISITIZA WANAFUNZI WANAOPATA UJAUZITO WAENDELEE NA MASOMO
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa mashuleni waendelee na masomo yao ili kufikia malengo walioyanayo...
View ArticleRais Magufuli mgeni rasmi Siku ya Uhuru wa Habari Duniani
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamio.Rais wa Jamuhuri y Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Habari Mei mwaka huu.Maadhimisho hayo...
View ArticleSALUM MKEMI KIKAANGONI APRIL 30,AITWA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF
Mjumbe wa kamati ya Utendaji wa Yanga Salum Mkemi (kulia) akiwa sambamba na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa.Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mjumbe wa kamati ya Utendaji wa Yanga, Salum...
View ArticleMASHABIKI WA YANGA NA SIMBA KUKIPIGA DUBAI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO
Assalam aleykum ndugu Watanzania wote muishio UAE.Naomba kuwalika wote kwenye shughuli yetu ya kusherekea sikukuu ya Muungano itakayo fanyika pale Al Ahly club mjini Dubai siku ya Jumamosi tarehe:...
View ArticleSONGWE WAJIPANGA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI
Serikali ya Mkoa wa Songwe imeanza kuchukua hatua madhubuti kwa lengo la kupambana na changamoto zinazotokana na maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi ili kuweza kufikia malengo ya taifa baada ya...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AANZA KUBAINI WADAIWA WA KODI YA PANGO LA ARDHI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi amefanya ukaguzi wa mfumo wa kodi ya ardhi katika manispaa ya Musoma Mjini mkoa wa Mara ambapo amebaini wananchi 231 wanadaiwa Kodi ya...
View ArticleIVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
Ijumaa hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maarufu cha NEXT DOOR kilichopo katika kitongoji hicho cha...
View ArticleALPHONCE SIMBU ATINGA BUNGENI-BUNGE LAZIZIMA KWA SHANGWE
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tarehe 27 April limezizima kwa nderemo na shangwe pale alipotambulishwa rasmi mwanariadha Alphonce Simbu, Mshindi wa medali ya dhahabu wa Mumbai Marathon,...
View ArticleRITA YAMPA TUZO DKT. HARISSON MWAKYEMBE
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini nchini- RITA umempa tuzo ya heshima aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria mhe. Dkt Harrison Mwakyembe kutambua mchango wake katika kuboresha hali ya usajili wa...
View ArticleSPIKA NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Iran nchini Tanzania, katikati ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang katika kikao kilichofanyika leo...
View ArticleUPENDO WOMEN’S GROUP WATOA MSAADA KATIKA WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA...
Mwenyekiti wa Upendo Women’s Group, Theresia Greca na Mweka Hazina,Begum Chunny kwa pamoja wakikabidhi vifaa hivyo hivyo kwa Afisa Muuguzi wa Hospital ya Mwananyamala,Musa Wambura leo jijini Dar es...
View Article