HALI YA USALAMA KIBITI SASA NI SHWARI, VYOMBO VYA DOLA VYAENDELEA NA KAZI -...
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo, amewahakikishia wananchi kuwa hali ya usalama wilaya ya Kibiti na Rufiji ipo shwari. Aidha...
View ArticleMSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 53 YA MUUNGANO WA TANZANIA
Katika kuadhimisha Miaka 53 ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili, 2017 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya...
View ArticleMACHIMBO YA KITUNDA YASIMAMISHWA KWA MUDA MKUU WA MKOA WA TABORA ILI KUEPUKA...
Na Tiganya Vincent, RS-TaboraMkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo amesimamisha kwa muda uchimbaji wa madini aina ya dhahabu katika...
View ArticleDC GONDWE AZINDUA CHANJO YA POLIO WILAYANI HANDENI,AWATAKA WANANCHI KUTILIA...
Wananchi Wilayani Handeni wametakiwa kutilia mkazo suala la kuwapeleka watoto kupata chanjo mara zinapotangazwa ili kuendana na msemo wa kinga ni bora kuliko tiba.Rai hiyo ilitolewa wakati wa uzinduzi...
View ArticleDC KISHAPU AWATAKA MAOFISA UGANI KUHAKIKISHA WANAFIKA KWA WAKULIMA NA...
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Taraba amewaagiza maofisa ugani wa kata zote kuhakikisha wanawafikia wakulima na kuwafundisha mbinu bora za kilimo chenye tija.Ameagiza pia...
View ArticleBALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE.JASEM AL-NAJEM AENDELIEA KUUNGA MKONO SHULE YA...
Ubalozi wa Kuwait unaendelea kuiunga mkono Shule ya Sekondari ya Tolido iliyopo Tanga kwa kuipatia idara ya shule hiyo mashine ya kutoa kopi(photocopy machine) iliyopokelewa na msimamizi wa Shule Bi,...
View ArticleKIKOSI KAZI CHA KUNUSURU MTO RUAHA CHATEMBELEA SKIMU YA MWENDAMTITU- MBALARI.
Kikosi cha Kitaifa cha kunusuru Ikolojia ya Mto Ruaha kilichoundwa na Makamu wa Rais wa Tanzania kilichoko Mkoani Mbeya, kimeeendelea na ziara yake kwa kutembelea skimu ya Mwendamtitu iliyopo wilayani...
View ArticleRC NCHIMBI ABAINISHA KUSHINDWA KUMPATIA CHANJO MTOTO NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA...
Wazazi wanaoshindwa kuwapeleka watoto kupata huduma za chanjo wanakiuka haki za binadamu hasa haki ya kuishi na pia wanaenda kinyume na juhudi za serikali za kupambana na maradhi, umaskini na...
View ArticleRAS –TABORA AWATAKA WACHIMBAJI MADINI WA KITUNDA KUJIKINGA NA VVU
Na Tiganya Vincent, RS-TaboraKatibu Tawala Mkoa wa Tabora(RAS) Dkt. Thea Ntara amewataka Wachimbaji Wadogo wadogo waliopo eneo la Kitunda wilayani Sikonge kuzingatia matumizi mipira ya kufanyia...
View ArticleMAONESHO YA WIKI YA USALAMA NA AFYA KAZINI 2017 MKOANI KILIMANJARO
Maonesho ya wiki ya usalama na afya kazini yameanza leo siku ya Jumatano tarehe 26/04/2017 katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo taasisi mbalimbali za serikali na binafsi...
View ArticleSPIKA WA BUNGE AKAGUA VIKOSI VYA TIMU YA BUNGE LA JMT NA TIMU YA BARAZA LA...
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) wakati akikagua kikosi cha timu ya netball ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleRC GAMBO AZINDUA BARABARA ARUSHA,AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO ,...
Na.Vero Ignatus ,Arusha.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amtembelea na kujionea mradi wa darasa la watoto wenye ulemavu katika shule ya msingi Meru iliyopo Jijini hapa. Akiwa katika shule hiyo yenye...
View ArticleJPM:KILA MTANZANIA ALINDE NA KUIMARISHA MUUNGANO
Kila mtanzania ametakiwa kuhakikisha anafanya jitihada za kuimarisha na kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa miaka 53 iliyopita. Akizungumza leo wakati akihutubia wananchi katika...
View ArticleAPPRECIATION
BELOVED MAMA EUPHRACIA HIPOLITE MATAFU12/09/1940 – 17/04/2017We lost a Wonderful woman, mother, sister, aunt, grandmother and a friend who can never be replaced. During these days and weeks following...
View Article