RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein katikati akimkabidhi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma Jezi pamoja na Mipira kwa ajili ya mashindano ya...
View ArticleSERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIFAA TIBA VITOKANAVYO NA PAMBA.
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unakamilisha taratibu za uwekeza kwenye vifaa tiba vitokanavyo na pamba na bidhaa za maji ya dripu(Infusion...
View ArticleVIJANA WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA KILIMO CHA MBOGAMBOGA,MATUNDA NA NAFAKA.
Na Nuru Juma na Husna Saidi-MAELEZO Umoja wa Kilimo cha Mbogamboga, Matunda na Nafaka umeanzisha Kampeni ya Kijana Inuka na Kilimo cha Mbogamboga na Matunda kwa lengo la kuepukana na kilimo cha mvua na...
View ArticleRC MAHENGE AWATOLEA UVIVU MAAFISA KILIMO WAZEMBE
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt BILINITH MAHENGE ameamua kutema cheche kwa Maafisa kilimo wazembe ambao hawajui majukumu yao habari kamili hii hapa chini
View ArticleTRA Yaja na Mikakati Mipya Ya Ukusanyaji Kodi
Na Husna Saidi na Nuru Juma- MAELEZO Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Trilioni 10.87 mpaka kufikia Machi mwaka huu kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Hayo yamesemwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka...
View ArticleWATAKAOTOZA FEDHA KUPIMA MALARIA NA KUUZA DAWA MSETO KUCHUKULIWA HATUA
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali haitosita kuwachukulia hatua mtumishi yoyote katika vituo vya Afya vya Umma nchini watakaobanika kutoza...
View ArticleSimbu arejea nyumbani kishujaa, aahidi kujipanga upya kwa mashindano ya dunia...
Balozi maalum wa DStv na Mwanariadha pekee wa Tanzania aliyeshiriki mashindano ya London Marathon 2017 Alphonce Simbu amerejea nyumbani na kutoa onyo kali kwa wale atakaokabiliana nao kwenye mashindano...
View ArticleJAMHURI YAOMBA KUONDOA KESI YA KUJIFANYA AFISA USALAMA ALIYEKUWA MWENYEKITI...
Na Wankyo Gati, ARUSHA UPANDE wa Jamuhuri umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi ya jijini Arusha kuiondoa kesi ya kujifanya Afisa usalama wa Taifa na kujipatia chakula katika hotel moja ya kimataifa...
View ArticleNGOMA AFRICA BAND INAWAKATIKIA WATANZANIA WOTE HERI YA MIAKA 53 YA MUUNGANO
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya The Ngoma Africa band inawatakia kila la heri na fanaka Watanzania wote popote walipo duniani katika kusherekea miaka 53 ya Muungano Day, na kusema siku...
View ArticleKamanda wa polisi mstaafu Suleiman kova atunukiwa tuzo ya heshima na apec
Shirika lisilo la kiserikali la APEC limempatia tuzo ya heshima aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova katika sherehe za uzinduzi wa chuo jijini Dar es salaam. Kabla...
View ArticleMISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe,Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba,baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano...
View ArticleKKKT DAYOSISI YA KASIKAZINI JIMBO LA HAI USHARIKA WA UDURU, MACHAME KATI -...
Bwana asifiwe. Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Uduru pamoja na wajumbe wa Baraza la wazee wanaomba kukutana na Washarika wote wa Uduru wanaoishi mikoa ya Dar es salaam na Pwani, ili kuwapa taarifa...
View ArticleBalozi Dkt. Asha Rose Migiro aongoza Watanzania Waishio Nchini Uingereza...
Jumanne Aprili 25, 2017 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt Asha-Rose Migiro, amewaongoza Watanzania waishio Uingereza kushiriki Ibada Maalum ya kuliombea Taifa iliyofanyika katika Kanisa maarufu...
View ArticleMFANYAKAZI BORA WA WIZARA, IDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII 2017
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Hamisi A. Kigwangalla akimtunuku zawadi mfanyakazi Bora wa Wizara yake (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) mwaka 2016/17, Bi...
View ArticleZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023
Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amesema pamoja na mafanikio makubwa katika kupambana na Malari Zanzibar, bado shehia tano zinaendelea kutoa wagonjwa wa...
View ArticleSERIKALI YAWATAKA WAAJIRI KUHAKIKISHA MITAMBO NA VIFAA VYA KAZI VINAFANYIWA...
Serikali imewataka waajiri wote na wadau kwa ujumla kuhakikisha kuwa sehemu za kazi, mitambo na vifaa vya kufanyia kazi vinafanyiwa ukaguzi mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa havileti madhara kwa...
View Article