NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MKURUGENZI WA IFAD WA KANDA YA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo-IFAD wa Kanda ya Mashariki na Kusini...
View ArticleMAGEREZA VOLLEYBALL WANAWAKE WATWAA UBINGWA MUUNGANO CUP
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiTimu ya mpira wa wavu (Volleyball) ya wanawake ya Magereza imetwaa ubingwa wa mchezo huo katika mashindano ya Muungano yaliyofikia tamati jana katika uwanja wa Taifa...
View ArticleWakazi wa Manispaa ya Musoma Mjini Wadaiwa Mil. 271 za Kodi ya Ardhi
Na Husna Saidi- MAELEZOTakribani shilingi milioni 271 zinadaiwa kwa wakazi wa Manispaa ya Musoma Mjini, Mkoani Mara ikiwa ni kodi ya Pango la Ardhi. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Bi. Ummy Nderinanga wakati...
View ArticleTEACHER’S JUNCTION YATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA...
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.TEACHER’S Junction imetoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri mtihani wa ujirani mwema kwa shule 19 binafsi.Akizungumza katika hafla hiyo Mwalimu Mstaafu na...
View ArticleBENKI YA KCB TANZANIA YADHAMINI MKUTANO WA WATANZANIA WANAOISHI NJE YA NCHI
Benki ya KCB Tanzania yadhamini mkutano wa Watanzania wanaoishi nchini Marekani. Mkutano huo utafanyika tarehe 5 – 7 Mei 2017 katika hoteli ya Wyndham Dallas Suites - Park Centrale, Dallas, Texas. Na...
View ArticleBENKI YA KCB TANZANIA YADHAMINI MKUTANO WA WATANZANIA WANAOISHI NJE YA NCHI
Benki ya KCB Tanzania yadhamini mkutano wa Watanzania wanaoishi nchini Marekani. Mkutano huo utafanyika tarehe 5 – 7 Mei 2017 katika hoteli ya Wyndham Dallas Suites - Park Centrale, Dallas, Texas. Na...
View ArticleUSAFI OFISI ZA CUF WAPIGWA ’ STOP’,
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imezuia wanachama wa CUF kufanya usafi katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni kutokana na kuwepo kwa viashiria vya uvunjifu wa amani kutokana mvutano...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF PAMOJA NA BALOZI WA KOREA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), leo tarehe 28 Aprili, 2017 amekutana na Bi. Maniza, Mwakilishi Mkazi wa UNICEF nchini. Bi. Maniza aliongozana na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
View ArticleSERIKALI YAWATAKA WAAJIRI KUJISAJILI KWENYE MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa waajiri wote nchini kujisajili kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi,...
View ArticleSSRA YASHIRIKI MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, na Watu wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama, akipata maelezo kutoka kwa Kaimu meneja wa Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka ya Usimamizi wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MKOANI TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo mafupi leo kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa mradi huo, kuhusiana na mradi wa maji unaojengwa katika kijiji...
View ArticleIRAN YAONESHA NIA KUWEKEZA NCHINI
Na Veronica Simba – Dodoma Balozi mpya wa Iran hapa nchini, Mousa Farhang amemtembelea Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa ajili ya kujitambulisha na kuzungumzia uwezekano wa nchi...
View ArticleMPINA AWATAKA WAKAZI WA MOROGORO KUTUNZA VYANZO VYA MAJI NA MAZINGIRA
Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Raisi muungano na Mazingira Mheshimiwa Luhaga Mpina, amewataka wakazi wa Mkoa wa Morogoro kutunza Vyanzo vya maji na Mazingira kwani kwa kufanya hivyo watakuwa wameokoa...
View ArticleNAIBU SPIKA TULIA ACKSON AZINDUA MAFUNZO YA SANAA TASUBA
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii TAASISI ya Tulia Trust inayomilikiwa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson imewafadhili wanafunzi 27 kwa ajili ya kupata mafunzo...
View ArticleUHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA...
Uwasa)inapoteza kiasi cha shilingi milioni 13 kila siku kutokana na kuongezeka kwa za shughuli za kibinaadamu zinazofanywa katika vyanzo vya maji vilivyopo katika Mto zigi na Muzii Wilayani Muheza....
View Article