Balozi Asha Rose Migiro azindua Jumuiya ya Watanzania Waishio Wales, Uingereza
Tarehe 29 APRILI, 2017 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha Rose Migiro aliwatembelea Diaspora waishio Nchini Wales. Katika mkutano wake na Diaspora hao, Balozi alishiriki uzinduzi rasmi wa...
View ArticleDHANA YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa tahadhari kwa wadaiwa wa kodi ya pango la Ardhi kwa kutoa elimu ya kuhusu dhana ya Kodi hiyo. Hivi karibuni Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
View ArticleJARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
TOLEO Na. 8 LA JARIDA LA WIZARA YA ARDHI , NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZIWizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa jarida lake la mwaka (Toleo Na. 8). Jarida hili haliuzwi. Kuna nakala...
View ArticleNgoma Africa band watua kwa Wayahudi kutumbuiza sherehe za uhuru wa israel
Habari nyeti zimevuja sasa hivi kuwa Ngoma Africa band aka FFU UGHAIBUNI  bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya yenye makao kule nchini Ujerumani inatua nchini Israel kutumbuiza katika onyesho...
View ArticleSIMBA YATANGULIA FAINALI YA FA
Mshambuliaji wa Simba, Mohamed Ibrahim ‘Mo’ (kushoto), akishangilia na beki wa timu hiyo, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ baada ya kufunga bao pekee katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Azam FC...
View ArticleDaladala, bajaji zisizokuwa na 'dustbin' kutozwa faini - DC wa Ilala Mhe....
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika kufanya kwa vitendo kampeni ya usafi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Sophia  Mjema akiwa kaongozana na Katibu Tawala wa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI APATA MAPOKEZI MAKUBWA MKOANI KILIMANJARO LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na wananchi Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliofunga barabara kumsimamisha wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa...
View ArticleMKUU WA MKOA WA PWANI MHANDISI NDIKIRI AISHUKURU TANESCO KWA MSAADA WA VIFAA...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMKUU wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikiro, ameishukuru TANESCO kwa msaada wake wa vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya Kituo cha Afya Mkoani Mjini Kibaha.Mhandisi...
View ArticleORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAODAIWA KUWA NA VYETI FEKI
Public Service Taasisi by Anonymous Akiok2sr on Scribd
View ArticleJUMUIYA YA WATANZANIA WANAOSOMA BEIJING WAADHIMISHA MIAKA 53 YA MUUNGANO
Mwenyekiti wa Jumuiya ya watanzania wanaosoma Beijing Nchini Husein Mtoro ( katikati) aliyemwakilisha Balozi,aliambatana na Viongozi wote Wakuu akiwemo Makam Mwenyekiti Khamis Ngwali,Katibu Mkuu Ndugu...
View ArticleMBUNGE WA BUKOMBE AWATAKA WANANCHI KUVUNJA MAKUNDI YA VYAMA NA KUWA WAMOJA
Wananchi wa jimbo la Bukombe Mkoani Geita,wametakiwa kuachana na siasa ambazo zinaweza kusababisha kutokuwa wamoja katika kuleta maendeleo.Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la hilo Dotto Biteko wakati...
View ArticleRAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPIL MJINI MOSHI
Rais Dkt John Pombe Magufuli amejiunga na waumini kwenye ibada ya Jumapili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi Mjini asubuhi hii. Rais Magufuli yuko...
View ArticleTAARIFA POTOFU ZINAZOMHUSISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA DKT...
Ubalozi wa Tanzania London umepokea Habari inayozagaa kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa instagram ikiwa na nukuu ifuatayo:''Binafsi bado sijaona umuhimu na mafanikio ya Muungano wa Tanganyika na...
View Article