NSSF YASAIDIA UJENZI WA ZAHANATA KATIKA KIJIJI CHA MATAMA MKOANI RUVUMA
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limetoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa kituo cha Afya katika Kata ya Muhukuru, Kijiji cha Matama, Mkoani Ruvuma. Vifaa hivyo, ni mifuko 800 ya saruji na...
View ArticleMBEYA CITY YAPATA MDHAMINI WA VIFAA VYA MICHEZO
Timu ya soka ya Mbeya City imepata mfadhili mpya wa timu hiyo ambaye atakuwa anasimamia maswala yote ya vifaa vya michezo ikiwemo jezi zote za timu hiyo zitakazotumiwa na wachezaji na zile za mashabiki...
View ArticleWAZIRI MAGHEMBE AZIPA HADHI HOTEL ZA DAR ES SALAAM
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akizungumza kabla ya kukabidhi vyeti vya kutambua hadhi za Hotel zilizopo jijini Dar es Salaam na kwa kuzipa madaraja mpaka nyota tano katika soko...
View ArticleWafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es salaam na Pwani, Vick Bishubo (kulia) akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa Dar es Salaam "NMB Business Club' waliokutanishwa na benki hiyo jana...
View ArticleKijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli azindua rasmi kitabu chake
Mheshimiwa Nabii Mkuu Dr GeorDavie Royal Mkuu , jana amezindua rasmi kitabu cha " KUKIWA NA FOLENI" kilichoandikwa na Wiseman Luvanda.Pia Nabii Dr.GeorDavie alimpongeza kwa kitendo chake alichoamua...
View ArticleVODACOM YATOE ELIMU YA HISA SAUT MWANZA
Meneja wa wateja wakubwa kutoka wakala wa hisa(Orbit Securities) Godfrey Gabriel,akiwasilisha mada ya umuhimu wa kununua hisa kwa wanafunzi wa chuo cha Mtakatifu Augustine Mwanza leo, wakati wa semina...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Said Meck Sadik pamoja na viongozi wengine wa...
View ArticleDkt. Harrison Mwakyembe awataka Vijana kutenga muda wao kujisomea Vitabu.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka vijana kutumia muda wao kujenga utamaduni wa kujisomea vitabu badala ya kupoteza muda wao mwingi katika mitandao ya...
View ArticleUjio mpya wa Rico Single na video ya wimbo ‘Halindwa’.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayefanyia shughuli zake za muziki visiwani Zanzibar, Rico Single, amefungua mwaka 2017 kwa kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Halindwa’.Muimbaji huyo ambaye...
View ArticleDKT. NCHIMBI AZITAKA KAMATI ZA MAJI KUSIMAMIA KIMAMILIFU MIRADI YA MAJI...
Kamati za maji za visima kumi vya maji katika manispaa ya Singida zimekuwa sababu ya miradi hiyo iliyokamilika kwa asilimia miamoja kutofanya kazi na kuwanufausha wananchi huku ikiwa imegharimu fedha...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA JUMAPILI MAKANISA MAWILI TOFAUTI MJINI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiungana na waumini katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini katika ibada ya Jumapili leo Aprili 30,...
View ArticleTPDC yang’oa vikombe lukuki Mei Mosi.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lafanikiwa kubeba vikombe vinanena na medali nne katika michuano ya mashindano ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani-Mei Mosi yaliyofanyika...
View ArticleSHIRIKA LA NDEGE TANZANIA LAZINDUA RASMI USAFIRI WA ANGA DAR – SONGEA
Wafanyakazi wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) wakigawa wine kwa viongozi ambao wamehudhuria uzinduzi wa usafiri wa anga Dar es Salaam – Songea, kupitia shirika hilo katika uwanja wa ndenge wa songea...
View ArticleBALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA IJA JUU YA UMUHIMU WA...
Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (kushoto), akizungumza katika Mkutano wa Wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA), Lushoto Mkoani Tanga, wakati...
View ArticleSMZ YAAHIDI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA ZANUSO KATIKA SEKTA YA UJASIRIAMALI
Mshiriki wa Mashindano ya ujasiriamali kwa Vyuo vikuu, Tahani Said akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Viwanda Zanzibar, Saleh Suleiman Hamad katika mashindano hayo...
View ArticleMICHUZI TV: MAMBO YALIVYONOGA KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI KATIKA UWANJA WA...
Kutoka VIWANJA VYA USHIRIKA MOSHI - ambapo leo tarehe 01 Mei 2017 kuanzia asubuhi hii, Mhe. Rais Magufuli ni Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) ambayo kitaifa...
View Article