ANGALIA HAPA MOJA KWA MOJA SHEREHE ZA MEI MOSI ZINAZOENDELEA SASA MJINI MOSHI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea maandamano ya wafanyakazi katika uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi na tayari sherehe za Mei Mosi ndio zimeanza rasmi. Rais Dkt. John Pombe Magufuli...
View ArticleWAKAZI 122 MKOANI SIMIYU WAPEWA HATI NA WAZIRI LUKUVI AGAWA HATI 122 LAMADI
Magere Mugeta mkazi wa Lamadi mkoani Simiyu akipokea hati ya kumuliki ardhi kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
View ArticleRC TABORA AWAAGIZA WAKAZI WAKE KULIMA NA MAZAO MENGINE NA SIO TUMBAKU PEKEE
Na Tiganya Vincent-RS-TaboraSerikali ya Mkoa wa Tabora imewaagiza kwa wakazi wa Mkoa huo kuanza kulima kwa wingi mazao wengine kama vile alizeti , pamba, mpunga na miembe ya kisasa ili waweze kuwa na...
View ArticleSTAMICO YAANZA UZALISHAJI MAKAA YA MAWE KABULO-KIWIRA
Na Koleta Njelekela-STAMICOShirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeanza uchimbaji wa makaa ya mawe katika mlima wa Kabulo uliopo Kiwira katika wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe.Mratibu wa Mradi wa...
View ArticleCHANGAMOTO ZATAJWA KUWAELEMEA WATUMISHI-MAGRETH SITTA
Rais mstaafu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi(TUCTA) Bi.Magreth Sitta ambaye alikuwa mgeni rasmi amesema kwa sasa watumishi wamekuwa wakikumbwa na changamoto nyingi ikiwemo baadhi ya waajiri...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu walipokuwa katika Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo 01/5/ 2017 Katika viwanja...
View ArticleSERIKALI YAAHIDI NEEMA KWA WAFANYAKAZI
Na Nuru Juma, Husna Saidi - MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli aahidi nyongeza ya kawaida kwa mishahara na kuwapandisha madaraja wafanyakazi wanaostahili.Rais...
View ArticleSTAMICO WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, WAAHIDI KUCHAPA...
Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyoadhimishwa kimkoa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambapo...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA WCF AWAHAMASISHA WAAJIRI KUJISAJILI NA MFUKO HUO, WAUNGANA...
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (Workers Compesation Fund – WCF), Masha Mshomba, (pichani) amewahamasisha waajiri nchini kujisajili katika mfuko huo kwani mkombozi mkubwa kwa waajiri...
View ArticleDKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI) MAHONDA,...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Mhe. Maudline Cyrus Castico...
View ArticlePPF WAUNGANA NA WENZAO KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
NA K-VSI BLOG/Khalfan SaidWAFANYAKAZI wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wameungana na wenzao jijini Dar es salaam kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi.Kitaifa sherehe hizo...
View ArticleWAFANYAKAZI WA ZANTEL WAADHIMISHA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI...
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Benoit Janin akizungumza na wafanyakazi wa Zantel mara baada ya wafanyakazi hao kuhitimisha matembezi mafupi ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama...
View ArticleBOSI MPYA SHIRIKA LA POSTA AJA NA MATUMIZI YA TEHAMA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusu ujio mpya wa Posta ya Kidijitali ofisini kwake jana jijini Dar es Salaam. Afisa...
View ArticleRC TABORA AAGIZA VIJANA NA WANAWAKE WAPEWE MIKOPO KUTOKA VYANZO VYA NDANI VYA...
Na Tiganya Vincent, RS-Tabora Serikali ya Mkoa wa Tabora imewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote mkoani humo kuhakikisha zinatoa mikopo ya asilimia tano kwa vijana na wanawake ili waweze...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza...
View ArticleJohn Kopwe wa PPF aibuka mfanyakazi bora
MFANYAKAZI bora wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, John Kopwe, toka Kurugenzi ya Rasilimali Watu na Utawala, akipokea cheti kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, wakati wa...
View ArticleMAMBO MANNE ALIYOZUNGUMZA MBUNGE WA JIMBO LA MADABA MH. JOSEPH MHAKAMA.
Kutoka kushoto ni Mh.Rashidi Shangazi mbunge wa jimbo la Mlalo Wilaya ya Rushoto mkoani Tanga katikati ni Rauph Mohamedi mtangazaji wa Ruvuma TV na wa mwisho aliyeshika mic yenye nembo ya Ruvuma Tv ni...
View Article