Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Yaanza Mwanza
Mtaalamu wa Mawasiliano nchini, Innocent Mungy akiwasilisha mada kwenye kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2017 linalofanyika jijini Mwanza. Kongamano hilo lililoanza leo...
View ArticleMadaktari Hospitali ya BLK India Watembelea Muhimbili leo
Madaktari kutoka Hospitali ya BLK ya nchini India leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa lengo la kuangalia mazingira ya kospitali kama yanaruhusu kuanzishwa huduma za upandikizaji...
View ArticleSTAR MEDIA TANZANIA YACHANGIA MILIONI ISHIRINI KWA SERENGETI BOYS
Kampuni ya Star Media Tanzania imekabidhi hundi ya shilingi milioni ishirini (20) kwa Waziri Wa Habari Utamaduni na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe katika harambee ya kuchangia timu ya vijana wenye umri...
View ArticleLake Cement inalinda mazingira ya wananchi wa Kimbiji –Katemba
Na Chalila Kibuda , Globu ya Jamii Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni , Stephen Katemba amesema kiwanda cha Lake Cement kinafuata sheria za utunzaji wa mazingira kwa wananchi wa Kimbiji. Katemba...
View ArticleSERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiTimu ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 Serengeti Boys wameendelea limbwi la ushindi baada ya jana kutoka kifua mbele kwa kuifunga Cameroon katika...
View ArticleMICHUZI TV: NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama...
View ArticleUpelelezi kesi ya Wema wakamilika.
Na Karama Kinyunko.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa kesi ya kukutwa na bhangi inayomkabili Msanii maarufu nchini wa filamu, Wema Isaack Sepetu (28) na wenzake wawili umekamilika. Wakili...
View ArticleVPL KUENDELEA TENA WIKIENDI HII
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiBAADA ya kusimama kwa kipindi cha takribani wiki tatu Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea tena Jumamosi Mei 6 na Jumapili Mei 7, mwaka huu kwa jumla...
View ArticleKESI YA MABOSI JAMII FORUM YAANZA KUSIKILIZWA
Na Karama Kenyunko, Globu ya JamiiMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaarifiwa kuwa, amri ya kukamatwa kwa Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya jamii Forums, ilitolewa na afisa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA TANO MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
View ArticleDKT NCHIMBI: MWAJIRI NA MWAJIRIWA SI MTU NA ADUI YAKE
Waajiri wote Mkoani Singida hususani wakurugenzi wa halmashauri ambao ndio wenye watumishi wengi wameelekezwa kujenga mahusiano mazuri baina yao ili kuboresha utumishi wao.Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt....
View ArticleFAINALI YA KOMBE LA FA SASA NI JAMHURI STADIUM DODOMA MEI 28, 2017
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Hatimaye Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limeweka wazi kuwa uwanja Jamhuri mjini Ddodma ndio utakaotumika kwa ajili ya fainali ya mchezo wa Fainali za kuwania...
View ArticleBALOZI SEIF AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MCT
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inasubiri kuyapokea kwa ajili ya kuyafanyia kazi mapendekezo yatakayowasilishwa ya Rasimu ya Sera ya...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AZINDUA MPANGO KABAMBE MTWARA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi amefanya uzinduzi wa Mpango Kabambe (Master Plan) ya 2015-2035 Mkoani Mtwara . Katika shughuli hiyo Mh. Lukuvi aliwataka watendaji wa...
View ArticleNMB yapata taarifa bora za hesabu
Mkurugenzi wa Benki ya NMB - Ineke Bussemaker • Yapata faida ya shilingi bilioni 40.9 kwa miezi Mitatu • Ni ongezeko la asilimia 4 BENKI ya NMB imepatafaida ya shilingi Bilioni 40.9 kwa miezi mitatu...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro...
View ArticleVicoba Moshi wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali
Wajasiriamali wa Kilimanjaro Vicoba Network (KIVINET) wamepata elimu ya ujasiriamali baada ya kupata mafunzo yaliyoandaliwa na FINCA Microfinance Bank mjini Moshi mwishoni mwa wiki.“Lengo la mafunzo...
View ArticleSHIRIKA LA ANGA ETIHAD LAMTEUA GAVIN HALLIDAY KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA...
Shirika la Anga la Etihad (EAG) limetangaza uteuzi wa Gavin Halliday kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hala Group ikiwa ni sehemu ya kuboresha utendaji wake na kuimarisha huduma zake...
View Article