Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea maandamano ya wafanyakazi katika uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi na tayari sherehe za Mei Mosi ndio zimeanza rasmi.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameshawasili katika uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi na tayari sherehe za Mei Mosi ndio zimeanza rasmi na unaweza kufuatilia live sherehe hizo.