Kutoka VIWANJA VYA USHIRIKA MOSHI - ambapo leo tarehe 01 Mei 2017 kuanzia asubuhi hii, Mhe. Rais Magufuli ni Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (MEI MOSI) ambayo kitaifa yanafanyika katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro
Fuatilia moja kwa moja kupitia tovuti rasmi ya Rais, BOFYA hapa;
Kwa kusikiliza BOFYA HAPA;
Pia fuatilia kupitia katika Televisheni za
TBC1
AZAMTV
AZAMTV
CLOUDSTV
STARTV
ITV
na katika Radio ya Taifa TBC Taifa