Mshambuliaji wa Simba, Mohamed Ibrahim ‘Mo’ (kushoto), akishangilia na beki wa timu hiyo, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ baada ya kufunga bao pekee katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Azam FC uliofanyika leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Himid Mao akichuana na Mohamed Ibrahim.
Mashabiki wakishuhudia mchezo huo huku wakinyeshewa na mvua.
Kocha wa Simba Joseph Omog akipeana mkono na kocha msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche.
Waamuzi wakitoka chini ya ulinzi baada ya mchezo kumalizika.