Mafunzo ya usimamizi wa Sheria ya Mazingira na Udhibiti wa biashara haramu...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Bw. Nyirembe Munasa, akisisitiza jambo katika ufunguzi wa Mafunzo ya usimamizi wa Sheria ya Mazingira na Udhibiti wa biashara haramu ya bidhaa zinazoharibu tabaka la Ozoni....
View ArticlePOLISI ZANZIBAR NA VIKOSI VYA SMZ KUFANYA MATEMBEZI YA AMANI
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi ZANZIBAR ALHAMISI JUNI 13, 2013. Jeshi la Polisi Zanzibar Jumamosi Juni 15, 2013 litafanya matembezi (Route March) ya pamoja kati yake na Askari wa Vikosi vya SMZ....
View ArticleKUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Hawa Ghasia kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 13, 2013. Waziri Mkuu, Mizengo...
View ArticleDK.Shein azungumza na Balozi wa Uholanzi nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kumuaga Rais leo asubuhi...
View ArticleBREAKING NYUZZZZZZZ............:MSANII MWINGINE WA BONGO FLEVA AITWAE LANGA...
TAARIFA ILIYOTUFUKIA CHUMBA CHA HABARI CHA GLOBU YA JAMII,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYADA LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA...
View ArticleTamasha la Castle Lager Soka Fest 2013 kufanyika jumamosi hii jijini Dar
Muandaaji wa Tamasha la Michezo lijulikanalo kwa jina la Castle Lager Soka Fest 2013,Evans akizungumza na waandishi wa juu Tamasha hilo litakalofanyika siku ya jumamosi katika Viwanja vya...
View ArticleSPEECH BY THE MINISTER FOR FINANCE HON. DR. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MP)...
INTRODUCTIONMadam Speaker, I beg to move that this esteemed House now resolves to debate and approve Government proposals for Revenue and Expenditure estimates for Fiscal Year 2013/14. Together with...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA LEO...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka ulioletwa kwake na mwakilishi mkazi wa Benki hiyo nchini Mhe Tonia...
View ArticleNBC YAZINDUA AWAMU YA PILI YA PROMOSHENI YA HIJA KWA WATEJA WAKE
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC na pia Mkuu wa Hazina wa Benki hiyo, Pius Tibazarwa (wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo Huduma za Kibenki kwa kufuata sheria za Kiislamu (NBC Islamic Banking), Yassir...
View ArticleAliyekuwa kocha Simba Patrick Liewig atua bongo kudai chake
Aliyekuwa kocha Simba Patrick Liewig (pichani) amerejea nchini na kuitaka klabu hiyo imlipe malimbikizo ya mshahara wake kisha iachane naye kwa amani.Simba iliachana na Liewig baada ya kutoridhishwa...
View ArticleLost Passport
Passport No. AB 017956 for SILAS JOHN BURA (pictured above) Has got lost in Melbourne, Australia.Whoever has any information leading to the recovery of this passport may please report immediately to...
View ArticleURA YA UGANDA NA ELECT SPORTS YA CHAD KUZIBA PENGO LA YANGA NA SIMBA KOMBE LA...
BARAZA la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), imeziteuwa timu ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA), Elect Sports ya Chad na Rayon Sports ya Rwanda kuziba nafasi ya timu za Tanzania zilizojitoa kwenye...
View ArticleMBIO ZA HISANI ZA MBUZI 2013 ZAWEKA REKODI KWA KUKUSANYA SHILINGI MILIONI 130.
Hakika, MBUZI MMOJA TU anaweza Kufanya Mabadiliko!Mbio za Hisani za Mbuzi za Dar 2013 zimeweka rekodi kwa kufanikiwa kukusanya Shilingi milioni 130 zitakazosaidia mashirika mbalimbali ya hisani ya...
View ArticleMABALOZI WA AFRIKA NCHINI UHOLANZI KATIKA ZIARA YA MAFUNZO UHOLANZI
Roboti inayokamua Ng'ombe maziwa Uholanzi. Mtambo huu unauzwa Euro laki moja na wakulima wa Uholanzi wanakopeshwa na Mabenki kwa riba ya asilimia tatu kwa mwaka na wanatakiwa kurejesha mkopo ndani ya...
View ArticleNSSF YAKUTANA NA WASTAAFU JIJINI DAR LEO
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, akisoma hotuba yake wakati wa sherehe ya siku ya wanachama wastaafu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa...
View ArticleMadiwani kilwa wafunzwa Maadili ya Viongozi wa Umma
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Abdallah Ulega akifungua mafunzo ya siku moja kwa Madiwani kuhuisiana na Sheria ya Maadili ya Viongozi Wa Umma. Kamishna wa Maadili Jaji mstaafu Salome Kaganda akitoa taarifa...
View Article