Majina ya vijana wa kidato cha sita 2013 na vikosi walivyopangiwa kwenda JKT
MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANAÂ 10,849Â WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:-1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA...
View ArticleSERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI
TUNAHITAJI MADEREVA WAWILI WA MAGARI MAKUBWAGOOD NEWS FOR TANZANIAHUDUMA MPYA YA KIFURUSHIÂ NEW DOOR TO DOOR SERVICETUNACHUKUA MZIGO MLANGONI KWAKO UK NA TUTAUFIKISHA MLANGONI KWAKO DARUKILIPA HAPA UK...
View ArticleNgoma zaipendazo Ankal
Ngoma ya 'Seya' ya Nguza Viking na mwanae Papii Kocha mwana wa Mfalme haisahauliki kirahisi...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA SEMINA YA APNAC MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha Tuzo ya heshima aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Mtandao wa wabunge wa mabunge wa Afrika wa kupambana na rushwa APNAC ili kutambua mchango wake katika kupambana na...
View ArticleWaendesha BodaBoda wakabidhiwa leseni Baada ya kuhitimu Mafunzo ya Veta
Na Abdulaziz Video,Nachingwea Jumla ya Vijana 63 Waendesha Pikipiki na Bajaj (MAARUFU BODABODA)Wilayani Nachingwea wamekabidhiwa Leseni za Udereva baada ya kuhitimu Mafunzo yaliyotolewa na Veta na...
View ArticleShow ya Kutimiza Miaka 13 ya Lady Jay Dee ni moto wa kuotea mbali
 Hivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam ambapo leo hii kuna bonge moja la show la Mwanadada mkongwe kwenye tasnia ya muziki hapa nchini,Lady Jay Dee...
View ArticleTAARIFA YA MICHANGO KWA AJILI YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU JEROME MPEFO
Kufuatia kifo cha ndugu yetu, JEROME MPEFO, kilichotokea juzi tarehe 12, June,2013-,Houston, Texas, mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa mizishi inafanyika.Tunawaomba...
View ArticleDK. SHEIN AZUNGUMZA NA MADAKTARI WA KICHINA IKULU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Madakatari wa Kichina waliofika IKulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi,ambapo...
View ArticleLADY JAY DEE AKIWA JUKWAANI USIKU HUU NDANI YA NYUMBANI LOUNGE KUADHIMISHA...
Show inaendelea na ni shangwe tupu ndani ya ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Mh. Sugu amemaliza kutoa  burudani muda mfipi uliopita na sasa ni zamu ya TMK Halisi chini yake Kibla Juma Nature.
View ArticlePresident Kikwete in London for G8 Summit, meets Virgin Atlantic Founder
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets and hold talks with Sir. Richard Branson in London this evening . Sir.Richard is a British business magnate best known as the founder and chairman of Virgin...
View ArticleMama Salma Kikwete atunukiwa tuzo ya Millenium Development Goals, Women...
Na Anna Nkinda – New York Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya Malengo ya Maendeleo ya Milinia ya mwaka 2013 kwa wanawake na Shirika la Voices of African Mothers (VAM) la nchini Marekani...
View ArticleMiss Redds Iringa 2013 ni Neema Mality
Ukumbi wa Highlands Cinema jijini Iringa unalipuka kwa vifijo mara baada ya Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality kutangazwa mshindi usiku huuMiss Redds Iringa 2013 Neema Mality akishukuru mashabiki Miss...
View ArticleIN LOVING MEMORY
REV. K. EPHRAIM AMOS LYIMO(17 NOVEMBER 1922 – 15 JUNE 1978)It is 35 years since you left us. We, Samwel, Dora, Tabusia, Remi, Vicky, Nechi and Julius pause to reflect how you and our late mother...
View ArticleMh. Lowassa aongoza harambee ya Chama Cha kuweka na kukopa (saccos) Cha...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa Chama Cha TLP,Mh. Augustine Mrema wakati wa Harambee ya kuchangisha fedha...
View ArticleAZMA YA JESHI LA POLISI ZANZIBAR NA VIKOSI VYA SMZ YA KUFANYA MATEMBEZI YA...
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la PolisiZANZIBARÂ JUMAMOSI JUNI 15, 2013. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghari Zanzibar Mh. Abdallah Mwinyi Khamizi, amepongeza Ushirikiano wa Jeshi la Polisi na Vikosi vya SMZ...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL APOKEA UJUMBE MAALUM WA SERIKALI YA WATU WA COMORO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Waziri wa Ulinzi wa Comoro, Hamada Madi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana...
View Article