Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 116984 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKALI WA MUZIKI WA ASILI AFRIKA MASHARIKI WATAMBIANA KANDA YA ZIWA 2013 NANI...

Mfalme wa nyimbo za asili nchini Tanzania Costa Siboka akiwa na msanii Atomi Sifa "Senetor" kutoka nchini Kenya anayetamba na wimbo wa Obama wametambiana kuonyeshana umwamba kanda ya ziwa. Wasanii hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPYNESS WATIMANYWA NDIE MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI

Mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kati Happiness Watimanywa (Katikati) akiwa na nyuso ya furaha mara baada ya kamati ya majaji kumtangaza mshindi katika kinyanganyiro kilichoshirikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mark Simmonds jijini London Uingereza leo(picha na Freddy Maro).

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

show ya Lady Jay Dee Kutimiza Miaka 13 ya Muziki ndani ya kiota cha Nyumbani...

Mwanamuziki Jady Jay Dee akionyesha umahiri wake wa kulishambilia jukwaa wakati wa show yake ya kutimiza miaka 13 katika Muziki iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Nyumbani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONANZA LA MICHEZO LA CASTLE LAGER SOKA FEST LAFANA SANA

 Mtanange mkali kati ya timu za Makampuni ya FastJet pamoja na AIM Group ukiendelea kwenye viwanja hivi vya Posta,Kijitonyamana jijini Dar es Salaam hivi sasa ikiwa ni sehemu ya Bonasha la aina yake la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakenya wawili na Mtanzania mmoja wahukumiwa kwenda Jela Miaka 67

Na .Tamimimu adam- Jeshi la Polisi ,MoshiMahakama ya hakimu mkazi Moshi, mkoani Kilimanjaro imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka 67 jela wakiwemo raia wawili wa Kenya na mwanamke mmoja mtanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE YA UWT KWA MAKAMU MWENYEKITI WA PLO NA UJUMBE WAKE

 Mwenyekiti wa Ujoma wa Wanawake Tanzaia (UWT) Sophia Simba akiwalaki Mjumbe wa Kamati Tendaji wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Jehad Abu Zead na Makamu Mwenyekiti wa POL Tayseer Khalid...

View Article

Rev. Christopher Mtikila Won the Case Against the Republic of Tanzania

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KUAGA MWILI WA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, marehemu, Timoth Apiyo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

News Alert: Watu wawili wapoteza maisha jijini arusha jioni hii

TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII JIONI HII TOKA JIJINI ARUSHA,INAELEZA KUWA KUMETOKEA MLIPUKO KATIKA VIWANJA VYA SOWETO JIJINI HALI NA INAHOFIWA KUWA WATU WAWILI WAMEPOTEZA MAISHA NA WENGINE KADHAA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

Free social event with free food, drinks and music in MINNESOTA. Limit ya ukumbi ni watu 160, RSVP by sending an email to info@sobernight.com au text the number on the flyer.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

hepi besdei ya kuzaliwa babu njenje na bibi njenje

Globu ya Jamii na Vijimambo Teams zinawatakia hepi besdei njema  ya siku ya kuzaliwa kwa babu njenje na bibi njenje . Mungu awazidishie uhai.

View Article

SHOW YA MWANA FA KATIKA UKUMBI WA MAKUMBUSHO NA JUMBA LA UTAMADUNI

View Article


TUOMBE MUNGU HAYA YASITOKEE KESHO KATI YA TAIFA STARS NA IVORY...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha ya Leo Jumapili ! Je ? unawajua wapiganaji hawa ?

Picha hii ya wazee wa kazi, na silaha zao mkononi na mikobani ! Ni wapiganaji wetu...lakini majina yao kama unayajua ?andika katika maoni, Lakini silaha zao zinaona mbali.Na Desh..Desh.. MSEMAKWELI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA KITABU CHA SUMBAWANGA NG'ARA KILICHOANDIKWA...

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Peter pinda akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi kitabu cha "Sumbawanga Ng'ara" kilichoandikwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi wa Wanyarwanda, Waganda na Wakongo wanaoishi nchini Ubelgiji...

Viongozi wa Wanyarwanda, Waganda na Wakongo Wanaoishi Ubelgiji Wakiwasilisha Ujumbe Maalum kwa Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi ya taifa). Viongozi hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Barclays wa vitu mbali mbali wodi ya watoto Hospitali ya Taifa ya...

 Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wakitoa msaada wa vitu ,mbalimbali katika wodi ya watoto Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, vikiwemo sabuni, vyandaru, miswaki, vinywaji baridi...

View Article

Ngoma azipendazo ankal

Ngoma ya 'Siku Hazigandi' ya Lady Jay Dee inajieleza yenyewe...

View Article

mkataa kwao mtumwa

View Article
Browsing all 116984 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>