Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 117024

BREAKING NYUZZZZZZZ............:MSANII MWINGINE WA BONGO FLEVA AITWAE LANGA AFARIKI DUNIA LEO

$
0
0
TAARIFA ILIYOTUFUKIA CHUMBA CHA HABARI CHA GLOBU YA JAMII,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYADA LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA.

LANGA AMBAYE INADAIWA KUWA ALIPATWA NA MALARIA KALI SANA HALI ILIYOPELEKEA KUKIMBIZWA HOSPITALI SIKU YA JANA.

TAARIFA KAMILI ITAKUJA BAADAE.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 117024

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>