MJUMBE WA NEC AKUTANA NA MWENYEKITI WA SACCOS KUBWA YA WANAWAKE (TEWO)
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akisalimiana na Mwenyekiti wa WAZAZI Temeke mama Sophia Kinega ambaye pia in Mwenyekiti wa TEWO Saccos mara baada ya mazungumzo yenye lengo la kusaidia kuimarisha Saccos...
View ArticleMAANDALIZI YA MTANANGE WA KUKATA NA SHOKA KATI YA TIMU YA NMB NA WABUNGE...
Timu ya Benki ya NMB ipo kwenye maandalizi makubwa ya mechi kati yao na wabunge ambayo itachezwa siku ya jumamosi kwenye viwanja vya Jamhuri hapa Dodoma. Ili kufanikisha mtanange huo Benki ya NMB...
View ArticleWATANZANIA WAKARIBISHWA SIKU YA WACHANGIA DAMU DUNIANI, IJUMAA TAREHE 14...
Tanzania kupitia Mpango wa Damu Salama Tanzania itaungana na nchi nyengine Duniani katika sherehe za Kuwashukuru na kuwatambua Wachangia Damu Duniani siku ya Ijumaa ya tarehe 14 Juni, 2013 ambapo...
View ArticleTour ya Washindi wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music awards 2013...
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) wakati wa uzinduzi wa Kilimanjaro Music Tour unaotarajiwa kuanza wiki ijayo Mkoani...
View ArticleOFISI YA MAKAMU WA RAIS KUPITIA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA, YAKABIDHI...
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji (kulia) akikabidhi sehemu ya Compyuta 15, kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa...
View ArticleBlog Mpya Ya Afya Njema; Mafanikio Na Utajiri
Pata majibu na maelezo ya maswali yafuatayo na matibabu ya njia rahisi kutoka blog ya Afya Njema; Mafanikio Na Utajiri (www.mtsimbe.blogspot.com)· Je Una Maumivi Ya Gouts (Viungo)?· Je Una...
View ArticleMKUU WA MKOA WA PWANI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WANANCHI...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akihutubia katika mkutano wa wadau wa kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Biama ya Afya uliofunguliwa leo mjini Kibaha,mkoani Pwani. Mjumbe wa...
View ArticleTTCL ILIVYOSHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA BUNGE MJINI DODOMA
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe. William Lukuvi akipata maelezo kutoka wa Josephine Mwakapugi kuhusu huduma zipatikanazo katika simu za kiganjani za TTCL "SMART PHONE"...
View ArticleTuzo za filamu za steps kutolewa Jumamosi juni 15
Meneja Masoko wa Steps Entertainment, Kambarage Ignnatus akionyesha moja ya tuzo zitakaotolewa kwa wasanii sikuya Jumamosi kwenye ukumbi wa Blue Pearl, Ubungo Plaza, kulia ni Mwakilishi wa kampuni ya...
View ArticleRedd’s Miss Tanzania yazidi kunoga
SAFARI ya kumpata Redd’s Miss Tanzania kwa mwaka huu, inazidi kunoga kwani kesho (Ijumaa) na keshokutwa (Jumamosi), kutakuwa na vinyang’anyiro katika sehemu mbalimbali nchini. Kazi kubwa inatarajiwa...
View ArticleMAAFISA WA POLISI WA BAVARIA UJERUMANI WATEMBELEA TRAFFIC
Mr. Gerd akipanda katika basi la ABOOD kuangalia namna shughuli za usafirishaji wa abiria katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo ikiwa ni sehemu ya ziara hiyo katika kubadilishana uzoefu wa utendaji kazi...
View ArticleNEWS ALERT: simba kumuuza Amri Kiemba kWA Wydad Casablanca ya Morocco?
SIKU moja baada ya Simba kumalizana na mchezaji wake Amri Kiemba (pichani), mchezaji huyo sasa yupo sokoni na atauzwa kwenye timu ya Wydad Casablanca ya Morocco. Kiemba alimwaga wino wa kuichezea Simba...
View ArticleCRDB YADHAMINI KONGAMANO LA WASOMI WA VYUO VIKUU NCHINI
Meneja wa Biashara wa benki ya CRDB tawi la UDOM, Danford Muyango akitoa mada kongamano la kimataifa la vyuo vikuu vya Afrika Mashariki kuhusu ujasiriamali, ubunifu na uongozi. Vijana wasomi walikutana...
View Articlevyuo vya ukunga vyatakiwa kusajiliwa
NA MAGRETH KINABO- MAELEZOBARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania limetoa agizo kwa mtu, kikundi au taasisi inayoendesha mafunzo ya uuguzi na ukunga bila kuwa na kibali kufunga mara moja.Aidha baraza hilo...
View ArticleBENKI YA KCB TANZANIA IMESEMA ITAENDELEA KUFANYA KAZI KWA KARIBU NA...
Mkurugenzi wa huduma za kibenki kwa wateja wakubwa wa Benki ya KCB Tanzania Frank Nyamundege akitoa mada juu ya huduma za benki hiyo wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo...
View Article