WAZIRI MKUU ATEMBELEA JUMUIYA YA SACOMA, LONDON NCHINI UINGEREZA
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Peter Mizengo Pinda, akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Sacoma group, Bwana. Sam Ochieng, namna ambavyo bidhaa za Matunda na Mboga mboga kutoka...
View ArticleWABUNGE WAPEWA SOMO JUU YA SUALA LA RUSHWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, akijibu maswali ya wabunge wakati wa semina juu ya wajibu wa kamati za Bunge na Wabunge kupambana na rushwa, Semina iliyoandaliwa na Ofisi...
View ArticleHOYCE TEMU AKONGA NYOYO ZA WASHIRIKI WA SEMINA YA ‘How To Find Your Destiny’
Mwendeshaji wa semina ya “How To Find Your Destiny” Hoyce Temu aki-share experience ya maisha yake mpaka hapo alipofika baada ya kupitia vikwazo vingi, kuvuka mabonde na malima wakati wa semina...
View ArticleMatembezi ya hisani ya ‘Step Ahead’ yafana sana leo jijini Dar
Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akimkabidhi cheti, Mkurugenzi wa ITV na Radio One, Joyce Mhaville, cha kutambua mchango wa wake katika kufanikisha matembezi ya...
View ArticleCCM DAR YAFANYA MAZUNGUMZO YA UJUMBE WA VIETNAM
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (aliyesimama) akifunga mazungumzo kati ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramdahani Madabida na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha...
View Articlemsomi wa chuo kikuu cha makerere ajishindia prado
Mshindi wa shindano la BE FORWARD PHOTO CONTEST ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda,Bwa.Sunday Robert akifanya mahojiano mafupi mbele ya wanahabari kutoka vyombo...
View ArticleNEWS ALERT: TAIFA STARS YALALA 2-1 KWA SHIDA kwa Morocco USIKU HUU
Taifa Stars ambayo inatupa karata yake ya pili ugenini kwenye mechi za mchujo za Kombe la Dunia dhidi ya Morocco (Lions of the Atlas) kwenye Uwanja wa Grand Stade jijini Marrakech, Morocco, imefungwa...
View ArticleAKAMATWA KWA KUIBA STULI YA MWENGE WA UHURU
ARUSHA, TanzaniaJIJI la Arusha limeendelea kujijengea sifa ya kuwa moja ya maeneo yenye vituko, kufuatia kijana mmoja mkazi wa eneo la Phillips, kata ya Sekei jijini humo, Hamad Rashid (32) kukamatwa...
View ArticleMagdalena Olotu anyakua taji la Redd's Miss Kigamboni 2013
Mgeni rasmi katika shindano la Redd's Miss Kigamboni 2013 Mbunge wa jimbo la Kigamboni Mh. Dr. Faustine Ndugulile (CCM) akiwa ameambatana na Meneja Masoko Taifa wa shirika la ndege la Precision Air Bw....
View Articlebalozi kamala akutana na Mikumi Kids
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisalimia Marafiki wa Asasi ya Mikumi Kids waliokutana kwa ajili ya kuchangia Mikumi Kids leo katika Mji wa Wilsele Ubelgiji. Mikumi Kids...
View ArticleUJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MBEYA WAENDELEA KWA KASI KUBWA .
Ujenzi wa Barabara ya Mbeya kuelekea Chunya , hili ni eneo Maarufu kona ya Mkoa Barabara ya kiwango cha Rami kutoka Mbeya kuelekea Chunya eneo la Chalangwa Ujenzi wa Barabara ukiendelea Moja ya Gari...
View ArticleWABUNGE WA ZANZIBAR KATIKA MKUTANO WA NANYUKI VII NCHINI UGANDA
Rais Yoweri Museveni wa Uganda akiwa katika picha ya pamoja na wabunge kutoka Tanzania pamoja na Wabunge wanaoiwakilisha Tanzania Katika Bunge la Africa ya Mashariki baada ya kufunga mkutano wa...
View ArticleREDD'S MISS KINONDONI 2013 WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni Dokta Gunini Kamba (katikati) akiwa na mratibu wa shindano la Redd's Miss Kinondoni 2013, Ssebo wakitoa maelekezo kwa warembo mara baada ya warembo hao kutembelea...
View Articlewarsha ya tanapa na wahariri wa vyombo vya habari yaendelea leo mkoani iringa.
Kaimu Mkurugenzi Mipango,Miradi ya Maendeleo na Huduma za Utalii TANAPA,Dkt.Ezekiel Dembe akijibu changamoto mbalimbali zilizokuwa zikiulizwa na washiriki wa Warsha ya TANAPA na Wahariri wa Vyombo vya...
View Articlemambo ya kupiga nyoka
hili lori tumekutana nalo kijiji cha mwigu morogoro road linapigwa nyoka.gari yetu imepata pancha hapa so muda wote bila hofu jamaa wamepiga dumu 12 za liter 20!mchezo huu ndo unatutesa watz tunauziwa...
View ArticlePOLISI WANUFAIKA NA USHIRIKIANO WA POLISI WA BAVARIA,UJERUMANI
Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Jimbo la Bavaria na Rais wa Chuo cha Polisi Bavaria cha Nchini Ujerumani Bw. Wolfgang Sommer akimkabidhi zawadi Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema wakati wa ziara...
View Article