Serikali ya Afrika Kusini yatakiwa kuitika wito wa Mahakama ya ICC hapo April 7
Mamlaka nchini Afrika Kusini wametakiwa kutokea mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya ICC iliyoko mjini The Hague Uholanzi, Aprili 7 mwaka huu kuhusiana na kushindwa kwao kumkamata...
View ArticleSudan Kusini yatangaza ada mpya za kupata kibali cha kazi kwa wafanyakazi wa...
Licha ya kukabiliwa na vita pamoja na baa la njaa na kuhitaji msaada, Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kuongeza ada ya kupata kibali cha kufanyia kazi nchini nchini humo, kutoka Fold 100 za Sudan...
View ArticleMAHAKAMA YA TANZANIA YAENDELEA NA MABORESHO
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma(Mwenye shat ijeupe) akifuatilia Mada kuhusu Mpango Makakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Maboresho ya Mahakama iliyokuwa...
View ArticleCRDB YATOA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA SARATANI YA OCEAN ROAD
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Taasisi ya Saratani Ocean road, Beatrice Erasto ,vifaa vya mgonjwa ikiwa ni moja ya...
View ArticleRITA KUBORESHA MFUMO WA USAJILI WA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umeandaa maboresho ya ujumla ya mfumo mzima wa usajili chini ya Mkakati wa Kitaifa wa Kuboresha Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na Takwimu (National...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo tarehe 9/03/2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia...
View ArticleJE BABA ANATAKIWA KUTOA SHILINGI NGAPI ZA MATUNZO YA MTOTO ?
Na Bashir YakubWazazi wanapokuwa wametengana matunzo ya mtoto ni jambo jingine linaloleta faraka kubwa. Nani anawajibu wa kutoa matunzo ya mtoto, na matunzo yenyewe ni kiasi gani...
View ArticleTECC - Vijana watakiwa kuchangamkia fursa za mafunzo ya ujasiriamali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ujasiriamali na Ushindani (TECC), Bw. Sosthenes Sambua (katikakati) akizungumzia awamu ya pili ya program ya VIA Jiandalie Ajira ambayo imetangaza fursa za mafunzo ya...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA ENEO LENYE...
Mwenyekii wa Kamati ya Kudumu ya Ardhi ,Maliasii na Utalii,Atashasta Ndetiye (katikati) akiongozana na wajumbe wengine wa kamati hiyo kutizama vyanzo vya maji vilivyoko katika Pori Tengefu la...
View ArticleNSSF YAHAMASISHA WAKULIMA
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Tumaini Magesa, akizungumza na viongozi wa Vyama vya Ushirika wa Mazao (AMCOS), wakati wa uhamasishaji wakulima wilayani humo. Mpango huo umeanzishwa na NSSF kwa ushirikiano...
View ArticleDC GONDWE ANG'ARISHA SIKU YA WANAWAKE HANDENI
Mkuu wa Wilaya akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonesho ya bidhaa za kinamama.Mkuu wa Wilaya akitazama moja ya bidhaa na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na akina mama katika kutengeneza Tanzania...
View ArticleBenki ya NMB, Mastercard yawaingiza wakulima kidijitali
BENKI ya NMB imesaini makubaliano na Kampuni ya Mastercard kufanya kazi kiushirikiano ili kuhakikisha inaiinua sekta ya kilimo nchini Tanzania kwa kuanzishwa kilimo mtandao 'eKilimo' kinaomuwezesha...
View ArticleBALOZI KAMALA AHUDHURIA KAMATI TENDAJI YA KIBUNGE KUHUSU SHIRIKISHO LA...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akishiriki kikao cha 38 Kamati Tendaji Kuhusu Shirikisho la Biashara Duniani. Kikao hicho kimefanyika Brussels - Ubeligiji...
View ArticleWAKURUGENZI WA SHIRIKA MISAADA YA KIMAENDELEO LA UINGEREZA WAWATEMBELEA...
Mkurugenzi Mtendaji waShirika la Misaada ya Maendeleo la Uingereza DFID katika Benki ya Dunia Bw.David Kinder amepongeza hatua iliyofikiwa na serikali ya Tanzania kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...
View ArticleDC Kanali Ndagala kuwachukulia hatua watakaoshindwa kumaliza miradi ya ujenzi...
Na Rhoda Ezekiel Kigoma, MKUU wa Wilaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala ameahidi kuwachukulia hatua wasimamizi wa miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, endapo watashindwa kukamilisha miradi hiyo na...
View ArticleJAJI WARIOBA AZINDUA KITABU CHA KIONGOZI MWANAMKE
Waziri mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba akionesha kitabu juu mara baada ya kuzindua kitabu cha Mwanamke kiongozi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau...
View Article