Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117361 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi wanawake wa Barclays Tanzania washerehekea mafanikio yao

 Mkuu wa Mafunzo,  Uongozi na Usimamizi wa Talanta wa Benki ya Barclays Tanzania, Veronica Muumba (wa pili kushoto) na Mjumbe wa Bodi ya benki hiyo, Fatma Karume (wa pili kulia), wakikata keki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA KIBAHA MJINI KOKA AHIDI KULITATUA TATIZO LA MAJI KWA WAKAZI WA KATA...

NA VICTOR MASANGU, KIBAHA WAKINAMAMA wa kata ya Pangani wanaoishi katika mitaa minne ya Lumumba,Kidimu, Liwale pamoja ma mkombozi katika halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mji Mkoa wa Pwani wanakabiliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA CCM YAKIENDELEA MJINI DODOMA

 Naibu katibu Mkuu CCM Bara,Ndugu Rodrick Mpogolo akimsikiliza Katibu Itikadi na Uenezi  Humphrey Polepole walipokuwa wakipanga mikakati kufanikisha mkutano mkuu wa CCM uatakaofanyika katika ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Telkom and Business Connexion yazindua BCX, Suluhisho la Teknolojia mahiri...

 Mashirika na asasi zote ambazo hazikumbatii na kukubali mfumo wa kuendesha biashara kidigitali zinajiweka pabaya kutemwa na wateja wao.Kutokana na tishio hili, Telkom and Business Connexion inazindua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

Mpendwa Baba yetu Urban Peter Mbuya, leo umetimiza mwaka mmoja tangu mwenyezi Mungu akuite nyumbani kwake  juu mbinguni. Umetuachia majonzi makubwa lakini tuna imani uko mahala salama ukituombea....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SSRA WAADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MISAADA HOSPITALI YA...

Meneja Utawala na Utumishi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Amina Ally, akikabidhi baadhi ya vifaa kwa Muuguzi Kiongozi wa wodi ya wazazi ya hospitali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAR, PWANI KUKOSA MAJI KWA SAA 8

SHIRIKA LA Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (DAWASCO), limetangaza kuwapo kwa tatizo la upatikanaji wa huduma ya Majisafi kwa wakazi wa  jiji la Dar es salaam, pamoja na Miji ya Kibaha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPELELEZI KESI YA KITILYA WASUBIRI USHAHIDI KUTOKA ULAYA

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa upelelezi uliokuwa ukifanywa ndani ya nchi ya Tanzania katika kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya Kamishna Mkuu Mstaafu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VANESSA MDEE, DUMISHA HERI WAENDELEA KUSOTA RUMANDE KWA TUHUMA ZA DAWA ZA...

Kamanda Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna wa Jeshi la Polisi (CP), Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari juu operesheni mbalimbali zilizofanyika na jeshi hilo kwa wiki moja leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafisa wawili wa TFF waliokuwa wakituhumiwa kwa kuomba rushwa waachiwa huru

 Msaidizi wa Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Juma Matandika  akitoka mahakamani baada ya kukutwa hana kesi ya kujibu na kuachiwa huru.Na Karama KenyunkoMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM DKT JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA USALAMA NA...

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Machi, 2017 ameongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gwiji wa siasa ya uchumi Profesa Samir Amin atoa mhadhara UDSM leo

 Gwiji wa siasa ya uchumi kutoka nchini Misri Profesa Samir Amin (wa pili kutoka kulia) akitoa mhadhara kuhusu 'Uwezo wa Kujitawala, Ujenzi wa Demokrasia na Ustawi wa Kijamii Afrika' katika ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI SIMBACHAWENE:MAAFISA UTUMISHI KUWENI WAADILIFU

Na. Vero Ignatus, Arusha.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amewaagiza maafisa utumishi kuwa waadilifu na wakweli katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EY Graduate recruitment Programme FY17

Ernst & Young will be starting its Graduate Recruitment Programme for 2017 from 15th March to 26th April, 2017. All finalist students and those who recently graduated from different Universities...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MACHI 11,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA NJIA YA MSALABA KATIKA...

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma  Ijumaa Machi 10, 2017  Mke wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diwani Saidi Fella apokea Msaada kutoka Oxford

Diwani wa Kata ya Kilungule Mh. Saidi Fella leo amepokea msaada wa vitabu vya kufundishia na  kujifunzia kwa wanafuzi wa shule za msingi pamoja na Sekondary kutoka kwa rafiki zake wa Oxford University...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAKANUSHA TAARIFA YA DAWASCO

TAARIFA:SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) linakanusha Taarifa iliyotolewa na Shirika la Maji Safi na Maji taka jijini Dar es Salaam (DAWASCO), kuhusu kukosekana kwa Huduma ya maji kwa siku ya Jumapili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO MJINI...

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA JAMII YA WAFUGAJI LOLIONDO WALIPO IZUIA KAMATI YA BUNGE YA...

Wananchi wa jamii ya wafugaji katika kijiji cha Mbukeni,Kata ya Harashi ,tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro jana wamezuia kwa muda msafara wa kamati ya kudumu ya Ardhi,Maliasili na Utalii...

View Article
Browsing all 117361 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>