BOT GOVERNOR MEETS CEOs OF COMMERCIAL BANKS
DISCOUNT RATE REDUCTION SHOULD MAKE BANKS THINK ABOUT LENDING RATESThe Bank of Tanzania Governor, Prof. Benno Ndulu, has urged banks and financial institutions to take note of the downward review of...
View ArticleTTB NA MAURTIUS KUUNGANISHA NGUVU KATIKA KUTANGAZA UTALII.
Na: Geofrey Tengeneza -BerlinBodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Mamlaka ya Ukuzaji Utalii ya Mauritius zimetiliana saini mkataba wa ushirikiano baina yao katika kutangaza wa nchi hizo mbili kwa pamoja...
View ArticleBenki ya CRDB tawi la Mlimani City yaadhisha siku ya wanawake na wateja wake
Baadhi ya wateja wa akaunti ya Malkia ya Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwa na zawadi zao walizopewa na benki hiyo wakati wa kusherehekea siku ya wanawake iliyoadhimishwa leo ofisini kwao jijini...
View ArticleCOCA-COLA YAZINDUWA MUONEKANO MPYA WA AMSHA SHANGWE NA COCA-COLA MKOANI MBEYA...
Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya CocaCola Tanzania, David Karamagi akionja Msisimko na muonekano mpya wa Coca-Cola kwanza uliobatizwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola uliozinduliwa leo katika kiwanda...
View ArticleWAZIRI NAPE AONGOZA TULIA MARATHONI JIJINI MBEYA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye Akiwaongoza wakazi wa Jiji la Mbeya kwenye Mbio za Tulia Marathoni zilizofanyika jijini Mbeya akiwa ameambatana na aibu Spika wa Bunge la...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM DK. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA MAGEUZI MAKUBWA...
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana akizungumza mara baada ya kikao hicho kufunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John...
View ArticleYANGA YAVUTWA SHATI NA ZANACO TAIFA LEO, YATOKA SARE YA BAO 1-1
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiWAWAKILISHI wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika, "Dar Young Africans" wameshindwa kutamba kwenye kiwanja cha nyumbani katika mchezo wa kwanza...
View ArticleMASHINDANO YA MABALOZI WA MTOTO MFANYAKAZI WA NYUMBANI YAFANA JIJINI MWANZA.
Wanafunzi wa shule ya msingi Nyamagana wameibuka washindi kwenye mashindano elimishi kwa klabu za mabalozi wa mtoto mfanyakazi wa nyumbani dhidi ya wakubwa zao kutoka shule ya sekondari Nyakurunduma,...
View ArticleVODACOM TANZANIA FOUNDATION YASHINDA TUZO MAALUM YA KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA...
Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC,Kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya(kushoto) akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi wa Asasi ya Nitetee Flora Lauo,Ikiwa ni tuzo maalum kwa mchango wa kampuni hiyo kwa kusaidia...
View ArticleSHYROSE AWASILISHA MUSWADA BINAFSI KUSAIDIA WENYE ULEMAVU
Muswada binafsi wenye lengo la kutungwa kwa sheria ya kuwalinda albino umewasilishwa kwenye kikao kinachoendelea mjini Kigali, Rwanda. Muswada huo umewasilishwa bungeni na Mheshimiwa Shyrose Bhanji,...
View ArticleFATIKIA HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM, DKT. MAGUFULI KUPITIA HAPA
Kwa wale ambao mpo mbali na Luninga matangazo ya moja kwa moja 'Live' kutoka Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ambao Mhe. Rais Magufuli anahutubia muda huu mnaweza kuyapata matangazo hayo kupitia tovuti rasmi...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM,RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MKUTANO MKUU MAALUM...
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli akiwahutubia wajumbe wapatao 2356,ambapo walipaswa kuwa wajumbe 2380 katika mkutano huo Mkuu Maalum wa CCM uliokuwa na lengo...
View ArticleFighting for his life - please help
Haji Rajab is in a coma fighting for his life. He was found three days ago by a passerby unresponsive on the side of a road while on his usual exercise routine in the park. A CPR attempt to stabilize...
View ArticleNYAYO ZA ZAMADAMU ZATIKISA MAONESHO YA ITB UJERUMANI
Picha ya mchoro wa binadamu wa kale wakitembea katika eneo la Laetoli lililoko km 45 kusini mwa Olduvai gorge. Na Geofrey Tengeneza- Berlin.Nyayo na picha za michoro ya binadamu wa kale (zamadamu)...
View ArticleWATANGAZAJI WA MICHEZO WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Omari akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo na Warsha ya Wanahabari za michezo juu ya maadili ya utangazaji kwenye radio na Televisheni na...
View ArticleWaziri Mahiga ampokea Mjumbe Maalum kutoka Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akizungumza na Mjumbe Maalum, Balozi Harro Adt aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Kansela wa Ujerumani, Mhe....
View ArticleWANANCHI MKURANGA WAPATA HUDUMA ZA VIPIMO VYA AFYA ZAO BURE
Na Chalila Kibuda , Globu ya Jamii Wananchi wa Mkuranga wametakiwa kujitokeza kupima magonjwa mbalimbali na pale wanapokutwa kuweza kutibu kwa wakati mwafaka.Akizungumza katika upimaji wa Afya...
View ArticleMBUNGE APONGEZA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI ,ASEMA...
MBUNGE wa Viti maalum Wanawake mkoani Ruvuma, Jackline Msongozi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameipongeza serikali ya awamu ya tano kupitia Wakala wake wa barabara Tanroads mkoani hapa,...
View Article