Naibu katibu Mkuu CCM Bara,Ndugu Rodrick Mpogolo akimsikiliza Katibu Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole walipokuwa wakipanga mikakati kufanikisha mkutano mkuu wa CCM uatakaofanyika katika ukumbi wa mikutano, Dodoma leo
Katibu Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Jitegee,Bwa.Antony Machundewalipokuwa wakikagua maandalizi ya mkutanao Mkuu wa CCM,utakaofanyika mjini Dodoma
Msaidizi wa Mwenyeikiti wa CCM Suleiman Mwenda akimuelekeza jambo Naibu katibu Mkuu CCM Bara,Ndugu Rodrick Mpogolo walipokwenda kujionea maendeleo ya maandalizi ya ukumbi kwa ajili ya Mkutano mkuu wa CCM,unaotarajiwa kufanyika mjini Dodoma