Waziri mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba akionesha kitabu juu mara baada ya kuzindua kitabu cha Mwanamke kiongozi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.
Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza na Wanawake waliofika katika kongamano la Wanawake na Wasichana juu ya uongozi ndani ya Tanzania na kuzindua kitabu kinachohusu Mwanamke
Dkt Mwele Malecela akizungumza juu ya mambo aliyojifunza wakati anagombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi na kuwataka wazazi kuwa ndio waangalizi na kuwatoa hofu wasichana pindi wanapohitaji kujaribu jambo lolote lenye manufaa kwa Jamii
Waziri mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akiwa na Mama Anna Abdalah wakiwasalimia wanafunzi wasichana wa chuo kiku cha Dar es Salaam ambao walifika katika kongamano hilo
Baadhi ya washiriki waliokaa Safu ya mbele katika kongamno hilo.