CHAMA CHA WANAWAME TAWI LA GST DODOMA WAADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MWANAMKE...
Wajumbe wa Chama cha Wanawake tawi la GST-Makao Makuu DODOMA wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya Hospital ya Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma baada ya kushirika katika kazi ya kufanya usafi...
View ArticleJESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA...
Maafisa na Askari (Wanawake) wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pamoja na Mkurugenzi wa People With Drugs Dependence Relief Foundation (Pedderef) bi. Nuru Salehe wa kwanza mbele (kulia) wakiwa katika...
View ArticleTaasisi ya Ekama Development yaadhimisha siku ya wanawake wilayani Temeke
KATIKA kusherehekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani, TAASISI ya Ekama Development , ilishirikisha wanawake wa wajasiriamali wadogo Wilayani Temeke, katika tamasha lililokuwa na nia ya kuchambua...
View ArticleTANESCO YATOA SIKU 14 KWA WADAIWA BILI ZA UMEME KULIPA, VINGINEVYO HUDUMA YA...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limetoa siku 14 kwa Wateja wake wote linalowadai kulipa madeni yao, vinginevyo litasitisha utoaji wa huduma ya nishati kwa...
View ArticlePROFESA MUHONGO AITAKA KAMPUNI YA PR NG MINERALS KUANZA UZALISHAJI MADINI ADIMU
Na Veronica Simba - Dodoma Serikali imeitaka Kampuni ya PR NG Minerals Limited ya Australia, inayofanya utafiti wa madini adimu (rare earth elements), eneo la Ngualla mkoani Songwe, kukamilisha utafiti...
View ArticleTAMASHA LA PASAKA KUFANYIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Msama Promotions,Alex Msama akizungumza mbele ya waandishi wa habari mapema leo mchana jijini Dar kuhusiana na maendeleo ya maandalizi ya tamasha la pasaka linatlotajia kuanza hivi...
View ArticleAirtel Money yaisaidia WFP kutuma Pesa kwa Wakimbizi katika kambi ya...
Airtel Tanzania imeanzisha njia mpya na rahisi ya Near – Field Communication (NFC) ambayo ni mfumo wa malipo utakaoisaida Shirika la chakula Duniani (WFP) kuhamisha fedha kwa wakimbizi wapatao...
View ArticleNMB to digitize Tanzania’s agri sector with the Mastercard eKilimo mobile...
National Microfinance Bank Pic (NMB) has signed a strategic partnership agreement with Mastercard to ensure the digitization of the agricultural sector in Tanzania with the rollout of eKilimo, amobile...
View ArticleROBO FAINALI ASFC SIMBA na MADINI SASA KUCHEZA MACHI 19, 2017
Mechi mbili za kwanza hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), zitachezwa Machi 18 na 19, mwaka huu kwenye viwanja viwili tofauti. Mechi hizo ni kati ya...
View ArticleMWAMUZI AHMADA SIMBA AONDOLEWA KWENYE ORODHA LIGI KUU YA VODACOM
Mwamuzi Ahmada Simba akimuonesha kadi nyekundu mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting.Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi za Tanzania (Kamati ya...
View ArticleUMOJA WA AZAKI ZA VIJANA WAKUTANA KUJADILI VIPAUMBELE VYAO KATIKA BAJETI YA...
Mbunge wa viti maalum wa Pwani, Hawa Mchafu Chakoma (CCM) akizungumza kwenye kongamano la vijana kuhusu mchakato wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018 uliofanyika leo jijini Dar es...
View ArticleNGOMA, TAMBWE WAREJEA MAZOEZINI TAYARI KUWAVAA ZANACO
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKOCHA Msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amesema kuwa timu inaendelea na mazoezi na wachezaji wote wapo katika hali nzuri na wale waliokuwa majeruhi wamejiunga na wenzao...
View ArticleLUGALO YAJIVUNIA MAFANIKIO YA MCHEZAJI WAKE UGANDA
Mshindi wa Divisheni A Nett Mashindano ya Enntebe Ladies Open 2017 kutoka Klabu ya Lugalo Vicky Elias akiwa katika harakati ya Mchezo huo katika Michuano iliyofanyika Uganda Hivi Karibuni.Na Luteni...
View ArticleELIMU KUHUSU MFUMO WA TREIMS YATOLEWA NJOMBE
Wizara ya Nishati na Madini kupitia Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imeendesha mafunzo kuhusu mfumo mpya wa uhifadhi data na utoaji taarifa kwa ajili ya nishati jadidifu...
View ArticleWLAC YATOA ELIMU JUU YA HAKI ZA MTOTO KWA WANAFUNZI WA HANANASIFU SEKONDARI
Mwanasheria wa WLAC , Wigayi Kisandu akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kinondoni hananasifu juu ya umuhimu wa mtoto wa kike katika kukuza uchumi wa Tanzania na familia kwa kuweza kutambua...
View ArticleMARY MWANJELWA AONGOZA MAHADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE MKOANI MBEYA
Mbunge wa Viti Maalum Mbeya, Mary Mwanjelwa akinyoosha mikono juu pamoja na wageni wengine wa meza kuu katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake mjini Mbeya. Mbunge wa Viti Maalum Mbeya, Mary Mwanjelwa...
View ArticleCHUO CHA MIPANGO- DODOMA CHAHIMIZA MATUMIZI YA TAFITI KUKABILIANA NA ATHARI...
Na Benny Mwaipaja,WFMWadau wanaofanya tafiti mbalimbali za Maendeleo ya uchumi nchini hasa maeneo ya vijijini kuhusu Mabadiliko ya Tabia nchi wametakiwa kuwasilisha matokeo ya tafiti hizo Serikalini na...
View ArticleUtumiaji Holela dawa za maumivu waweza kusababisha magonjwa ya Figo
Watanzania wametakiwa kuepuka utumiaji holela wa dawa za maumivu ili kuepuka uwezekano wa kupata magonjwa ya Figo.Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Daktari Bingwa wa magonjwa ya Figo wa...
View ArticleJESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA...
Maafisa na Askari (Wanawake) wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pamoja na Mkurugenzi wa People With Drugs Dependence Relief Foundation (Pedderef)bi. Nuru Salehe wa kwanza mbele (kulia) wakiwa katika picha...
View Article