VODACOM YASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KISHINDO NA AKINAMAMA WA...
Mkuu wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania,Brigita Stephen (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu mjasiliamali Neema Nzuki aliyejiajiri na kuwaingiza wateja wapya wa Vodacom Tanzania wa manispaa...
View ArticleSkuli ya Kijini na Mbuyu Tendee Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja,Wafaidika na...
Maafisa Afya na Mazingira kutoka (SUZA) Nahya Khamis Nassor Mwanafunzi wa mwaka wa Tatu wa Chuo cha SUZA anayetowa mafunzo ya Afya na mazingira kwa Wanafunzi wa Skuli ya Kijini Matemwe akizungumza na...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA YAKE MDOGO MHE JAKAYA KIKWETE
Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohudhuria mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa...
View ArticleMICHUZI TV: MWANAMITINDO KHADIJA MWANAMBOKA AADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE...
Wakati Tanzania na Dunia nzima kwa ujumla zikiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, leo Machi 8, 2017, Mwanamitindo nguli hapa nchini na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Vitu Vya Khadija, Bi Khadija...
View ArticleKAMATI ZA BUNGE KUANZA KUKUTANA MACHI 20 HADI TAREHE APRIL 2, 2017
Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana Mjini Dodoma kutekeleza majukumu yake kuanzia Tarehe 20 Machi, 2017 hadi Tarehe 2 Aprili, 2017 kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Saba wa Bunge uliopangwa kuanza...
View ArticleSerikali ya Kenya yawataka madaktari wote wanaogoma kurejea kazini haraka,...
Madaktari nchini Kenya wamesema hawatarejea kazini licha ya agizo la Serikali kuwataka kurejea kazini haraka iwezekanavyo na kutangaza pia kuondoa nyongeza ya asilimia 50 waliyokubali kuilipa hapo...
View ArticleWAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA UKAGUZI WA USAFI MAENEO MBALIMBALI MJINI DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene akiambatana na Afisa Masoko Manispaa ya Mji wa Dodoma, Stephen Maufi katika ziara fupi ya kutembelea na...
View ArticleWANAWAKE WANAOFANYA KAZI MGODI WA BULYANHULU WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA...
Wanawake wanaofanya kazi katika Mgodi wa dhahabu wa Acacia Bulyanhulu uliopo katika halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wameadhimisha siku ya wanawake duniani Machi 8,2017 kwa...
View ArticleRC Maganga apiga marufuku vitendo vya unyanyasaji kwa wanawake mkoani...
Na Rhoda Ezekieli KigomaMkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emanuel Maganga amepiga marufuku vitendo vya baadhi ya wanaume Mkoani humo kuwadhurumu na kuwatishia kuwafukuza wake zao pindi...
View ArticleRAIS DKT SHEIN AREJEA NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiagana na Mhe, Airlangga Hartarto ambae ni miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini...
View ArticleSBL mdau muhimu wa maendeleo kiuchumi-Rc Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella leo ameipongeza Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa kuzalisha bidhaa zenya ubora wa hali juu jambo ambo limiweizesha kampuni hiyo kushinda tuzo mbalimbali za...
View ArticleMPINA AIPONGEZA MIRADI YA MUUNGANO PEMBA
NA Evelyn E. Mkokoi – PembaNaibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masula ya Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina, ameipongeza Miradi ya tasisi za Muungano Kisiwani Pemba, kwa kile...
View ArticleMIKAKATI YA SERIKALI KATIKA KUMUINUA MWANAMKE KIUCHUMI
Jovina Bujulu – MAELEZO.Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, ni hatua muhimu kwa wanawake kujipambanua na kufanya tathmini jinsi wanavyoshiriki katika ujenzi wa taifa kiuchumi, kijamii na...
View Article