Mkuu wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania,Brigita Stephen (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu mjasiliamali Neema Nzuki aliyejiajiri na kuwaingiza wateja wapya wa Vodacom Tanzania wa manispaa ya Dodoma,Wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa ujasiliamali mkoani hum oleo yaliyoandaliwa na Vodacom Tanzania.
Akina mama wajasiliamali wa Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye picha ya pamoja baad ya kushiriki mafunzo ya siku moja yaliyotolewa na Vodacom Tanzania leo katika maadhimisho ya siku ya wananawake Duniani.
Mkuu wa maduka ya rejareja ya Vodacom Tanzania, Brigita Stephen akikata keki na Katibu wa Voice of Women Entrepreneurs Tanzania (VOWET) Anna Otieno ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Wananawake Duniani leo mjini Dodoma.
Mkuu wa maduka ya rejareja ya mauzo ya simu Vodacom Tanzania,Brigita Stephen akizungumza na akina mama wajasiliamali wa mkoa wa Dodoma leo,Wakati wa mafunzo ya ujasiliamali kwa akina mama hao katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani.
Mwezeshaji wa masomo ya ujasiliamali Ben Mwambela akitoa mada ya ujasiliamali kwa akinamama wa mkoa wa Dodoma leo katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani,mafunzo hayo yalifadhiliwa na Vodacom Tanzania. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA