Mbunge wa Viti Maalum Mbeya, Mary Mwanjelwa akinyoosha mikono juu pamoja na wageni wengine wa meza kuu katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake mjini Mbeya.![]()

Mbunge wa Viti Maalum Mbeya, Mary Mwanjelwa akipiga makofi wakati wa mahadhimisho ya Siku ya Wanawake mkoa wa Mbeya.
Mbunge wa Viti Maalum Mbeya mjini, Dkt. Mary Mwanjelwa akiwa kajumuika na kina mama wenzake katika burudani, wahati wa hafla ya kuadhimisha siku ya wanawake mkoani mbeya