Na Bashir Yakub
Wazazi wanapokuwa wametengana matunzo ya mtoto ni jambo jingine linaloleta faraka kubwa. Nani anawajibu wa kutoa matunzo ya mtoto, na matunzo yenyewe ni kiasi gani hubaki kuwa kiini cha ugomvi.
Wapo wanaotoa lakini anayepewa anasema anapewa kidogo. Anayetoa naye anasema natoa kidogo kwasababu sina. Huyu naye anauliza kama huna kwanini ulizaa. Mambo kama hayo na mengine mengi yanayofanana na hayo.
Basi katika kupitia Sheria namba 21, Sheria ya mtoto ya mwaka 2009 tutatizama nani anatakiwa kutoa matunzo ya mtoto halikadhalika ni kiasi gani kinatakiwa kutolewa. Kusoma zaidi BOFYA HAPA