Kongamano la Uhuru wa Habari lamalizika leo jijini Arusha na kutoka na Azimio...
Mwenyekiti wa UN Tanzania Human Rights Group Bw. Tobias Rahm akitoa mada kuhusu haki za binadamu jinsia na mitazamo ya Mataifa Mbalimbali ulimwenguni kuhusu Uhuru wa Habari na Haki za Binadamu siku ya...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal Awasili Mkoani Shinyanga leo kwa ziara ya kikazi ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Shinyanga, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Shinyanga kwa ajili ya...
View ArticleKamishna Mkuu wa Magereza aendesha Zoezi la Uvalishaji Nishani Kanda ya Ziwa leo
KAMISHNA Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akikagua Guard ya heshima iliyoandaliwa kwa ajili yake kabla ya kuanza zoezi la Uvalishaji Nishani kwa Maafisa na Askari wa Magereza toka Mikoa ya Kanda...
View ArticleWatoto yatima washiriki tamasha la hisani la WoFI
Children from New Life Home in Dar es Salaam enjoy a ride on a toy train during a charity family bonanza organized by Women Footprints Initiative which provided a rare opportunity for children from...
View ArticleBendi ya Mashujaa kusindikiza Redds Miss Kibaha 2013
BENDI ya Mashujaa imetangazwa kutoa burudani katika shindano la Redds Miss Kibaha 2013 shindano lililopangwa kufanyika Mei 17 katika ukumbi wa Container Mailimoja Kibaha.Kwa mujibu wa taarifa kwa...
View ArticleTanzania inawahitaji wakunga sasa,kuliko wakati mwingine wowote ule
Mama Ye! leo, Mei 5, inatoa wito kwa Mh. Dk Hussein Mwinyi (MB), Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, kushughulikia kwa haraka upungufu wa idadi ya wakunga wanaohitajika ili kuwasaidia akina mama wa...
View Articlekatambuga sokoni
Viatu vinavyoundwa kutokana na Mabaki ya Magurudumu ya Magari maarufu kwa jina la Kata Mbuga,vikiwa sokoni kusubiria wateja.
View ArticleBREAKING NYUZZZZZZ.......: MLIPUKO MKUBWA WATOKEA JIJINI ARUSHA HIVI SASA
Majeruhi wa Mlipuko huo akipata huduma ya kwanza mara tu baada ya tukio hiloEneo lenye utepe ndipo kinachohisiwa kuwa bomu kilipotua na kulipuka katika Kanisa la Mt Joseph Olasiti Arusha ambapo Balozi...
View ArticleBoss Mpya wa TIC akutana na Wafanyakazi wa Kituo hicho
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bi.Juliet Kairuki akizungumza na wafanyakazi wa kituo hicho jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alipowasili kwa mara ya kwanza tangu...
View ArticleWizara ya sayansi yajivunia mafanikio iliyopata
Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Techinojia Dkt. Forens Turuka (katikati) akisisitiza jamboa baada ya kumkabithi kitabu cha Majukumu na Mafanikio ya Wizara hiyo toka kuanzishwa kwake...
View ArticleDRFA yazipongeza Red Coast, Abajalo, Friends Rangers
CHAMA cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kimezipongeza timu zake tatu zilizofuzu kucheza Ligi ya Mabingwa, baada ya kumalizika kwa Ligi Daraja la Pili hatua ya sita bora Aprili 27 mwaka...
View ArticleBalozi Seif Ali Iddi akutana na Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya...
Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Kibiashara ya Shanfar & Patners ya Mjini Salala Nchini Oman Bwana li Omar Al-Sheikh akizunguza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo...
View ArticleCHUO kikuu cha Ruaha mkoani Iringa chanyakua ubingwa wa Safari Lager Higher...
Diwani wa Kata ya Kitanzini Manispaa ya Iringa Mjini,Jescar Msambatavangu (wapili kushoto) akimkabidhi Kikombe nahodha wa timu ya Chuo Kikuu cha Ruaha, Said Mohamed mara baada ya kuibuka mabingwa...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA GHALA LA MSD DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizundua bohari ya madawa ya MSD mjini Dodoma Mei 5,2013.Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Seif RashidWatatu kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa (MSD),...
View ArticleKUMBUKUMBU
MAREHEMU MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKATAREHE 5 - MEI – 2013, UMETIMIZA MIAKA MITATU TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI. PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA...
View ArticleWANAFUNZI KUTOKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WANAOSOMA NCHINI ALGERIA...
Wanafunzi kutoka nchi 5 za Afrika Mashariki tunaosoma nchini Algeria tupo katika mchakato wa kuanzishwa kwa Jumuiya ya Wanafunzi wote wa EAC wanaosoma katika nchi hii.Changamoto ya kuanzishwa kwa hii...
View ArticleRAIS KIKWETE AANZA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI NCHINI KUWAIT LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili Kuwait City mchana wa leo, Jumapili, Mei 5, 2013, kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili katika Taifa la...
View ArticleMSAADA TUTANI
Hii picha imenifanya nijiulize maswali mengi... wewe je? (ongeza kwenye comment)1. Hayo maandishi yaliyoandikwa nyuma ya gari hilo ni wangapi wameweza kusoma? (OANGEZ, DANGEZ...)2. Tanzania tunatumia...
View Article