LIGI KUU LALA SALAMA, SIMBA YAIFUNGA RUVU SHOOTING 3-1
Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo (kushoto) akiwania mpira na beki wa Ruvu Shooting, Shaban Suzan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View Articlemtu mmoja anaendelea kuhojiwa na polisi kufuatia mlipuko wa bomu arusha
Waumini wakiwa katika taharuki kufuatia mlipuko huo wa bomu jijini Arusha leo. Chini makachero wa polisi wakifanya uchunguzi eneo la tukio. Picha na Woinde ShizzaBaba Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa...
View ArticleRais kikwete alaani shambulio la kigaidi arusha, aagiza waliohusika wasakwe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya tukio la leo, Jumapili, Mei 5, 2013 la mlipuko kwenye Kanisa Katoliki la...
View ArticleKAMERA IPO SOKONI
Sale sale ofa nzuri kwa wateja mzigo umeingia mjini pata zipo kamera za 160000 na 170000 unapata pia memorycard yenye ukubwa Wa 8 GB bureeeeee sambamba na kamera ulionunua wahi zinapatikana dar er...
View ArticleDKT. SHEIN AWASILI PEMBA LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wakuu wa vikosi vya Ulinzi Pemba alipowasili uwanja wa Ndege wa Karume,leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
View Articlekikao cha maandalizi kabla ya mawasilisho ya bajeti ya wizara ya mambo ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi aliyekaa katikati akitoa maelekezo kwa Watendaji Wakuu wakiwemo Wakuu wa Idara na Maafisa Bajeti wa Taasisi zote za Wizara ya Mambo ya Ndani ya...
View ArticleSVG yatimiza mwaka mmoja kwa kupanda miti zaidi ya 1,500
Salasala Vision Group (SVG), ni kikundi cha wakazi wa salasala Kilimahewa wapenda maendeleo kichoanzishwa mwaka 2012. SVG ilianzishwa ikiwa na malengo ya kuleta maendeleo ya kijamii, kiuchumi,...
View ArticleWinnie Shayo ndiye mshindi wa Redds Miss Hai 2013
Mshindi wa shindano la mrembo wa Redds Miss Hai 2013 Winnie Shayo( katikati) mshindi wa pili Mary Chemponda (kulia kwake) na mshindi wa tatu Catherine Leonard wakiwa katika picha ya pamoja mara baada...
View ArticleKAMATI YA TUZO ZA TASWA KWA WAMAMICHEOZO BORA WA MWAKA YATOA MAPENDEKEZO YA...
KAMATI ya kusimamia Tuzo za Wanamichezo Bora wa Tanzania mwaka 2012 zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) imepokea mapendekezo ya majina ya wanamichezo kutoka vyama...
View ArticleKMKM MABINGWA WAPYA LIGI KUU ZANZIBAR 2013/14
Wachezaji wa Timu ya KMKM wakiwa pamoja na kocha wao Ally Bushiri wakishangilia ubingwa wa soka wa ligi kuu ya soka ya Grandmalt huko Zanzibar walioupata hivi karibuni. Wachezaji wa Timu ya...
View ArticleMUHAS yaaswa kujenga uwezo wa kufanya tafiti
Baadhi ya washiriki katika Kongamano la Kwanza la Sayansi lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS) wakisikiliza kwa makini wakati wa kongamano hilo lililofungwa mwishoni mwa wiki jijini...
View ArticleAirtel yatoa msaada wa vitabu kwa shule za sekondari Tanga
Meneja Mauzo wa Airtel mikoa ya Tanga na Kilimanjaro Bw. Edmund Lasway akikabidhi baadhi ya vitabu vya sekondari kwa afisa elimu wa wilaya ya korogwe Bw. Shaaban Shemzighwa ikiwa ni msaada ulitolewa...
View ArticleUmoja Veteran yapata uongozi mpya
Mwenyekiti aliemaliza muda wake wa Umoja Veteran Bwana Nuhu akimkabidhi nguvu ya kuendeleza klabu Mwenyekiti mpya Ndugu Mallisa. Wakiangalia kwa makini ni Elia (Mweka Hazina) na Shaban michezo (Msemaji...
View ArticleMAMA ASHA BILAL AADHIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 10 YA TAASISI YA MAZNAT NA...
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa VIP wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana jioni kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za...
View ArticleDKT. SHEIN AZINDUA RASMI MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA KUSINI PEMBA LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa kwa kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,(kulia) Waziri wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AKATIZA ZIARA YA NCHINI KUWAIT
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Mei 6, 2013, ameamua kukatiza ziara yake ya Kiserikali nchini Kuwait ili kurejea nyumbani kutokana na tukio la...
View ArticleTWO HOT DALTONICS CHARITY CONCERT
The Italian Ambassador Hon. Pierluigi Velard (Third right) Adressing the media, Earlier today during the press confernce. The Egypt Air country Managing Director Mr. Hany Osman, insisting something to...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA
Mamaku wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali mtoto Kelvin Albert (3) aliyelazwa katika Hospitali ya Mount Meru, baada ya kujeruhiwa katika tukio la...
View ArticleBalozi wa Sudani amtembelea Mangula leo
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Bara),Ndugu Philip Mangula akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Sudani nchini Tanzania, Dr. Yassir M. Ali aliemtembelea leo kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es...
View Article