Wateja GNLD sasa kulipia bidhaa kwa njia ya M-Pesa
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Rukia Mtingwa(kushoto) pamoja na Mwakilishi wa GNLD Tanzania, Daniel Mutiso,wakipongezana mara baada ya kukamilisha makubaliano ya kibiashara na kampuni...
View ArticleWadau wa Muziki kuanza kuwapigia Kura wanamuziki wao
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager,George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya zoezi la upigaji kura kwa wamamuziki wanaowania tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music...
View ArticleEU yaahidi kusaidia Bajeti ya Tanzania Dola milioni 562
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Mh. Filiberto Sebregondi (katikati) akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam juu ya Wiki ya Umoja wa Ulaya itakayoadhimishwa nchini...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA KANISA LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Dini ya Kikristo wakati wa ghafla ya kuwekwa wakfu Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki...
View ArticleTaswa FC, Taswa Queens kuumana na Bongo Movie Jumamosi
Na Mwandishi WetuTIMU ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC na timu ya netiboli, Taswa Queens Jumamosi zitacheza na timu ya wacheza filamu, Bongo Movie FC na Bongo Movie Queens...
View ArticleMAONESHO YA WIKI YA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII KUANZA MEI 13
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu Wiki ya...
View ArticleCongratulatory Message to re-elected Prime Minister of Malaysia
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a Congratulatory Message to His Excellency Najib Tun Razak, upon being re-elected as the Prime Minister of Malaysia on...
View ArticleCHUO KIKUU CHA KIMATAIFA VIRGINIA (VIU) CHATOA UNAFUU KWA WANAFUNZI WA...
Mhadhili akitoa cheti kwa mmoja ya wahitimu wa chuo hicho kwenye maafali yaliyofanyika Jumapili May 5, 2013 Fairfax Virginia. Baadhi ya wanafunzi Watanzania wanaosoma chuo hicho Kutoka kushoto ni Alex...
View Articlemsaada tutani
Naomba unirushie hii kwenye blog yetu ya jamii.Nipo hapa Barbados kwa shughuli binafsi, na nitakuwepo mpaka 11/May/2013.Nilitaka fahamu kama kuna Mtanzania anaishi hapa.Ningependa sana kukutana...
View ArticleMama Kikwete akiomba kituo cha watoto wenye utindio wa ubongo kushirikiana na...
Na Anna Nkinda – KuwaitMke wa Rais Mama Salma Kikwete amekiomba kituo cha watoto wenye mtindio wa Ubongo kilichopo nchini Kuwait kushirikina na Tanzania ili waweze kufanya kazi kwa pamoja ya kuwasaidia...
View ArticleTANZANIA YAHADHARISHA WACHACHE KUAMUA KWA NIABA YA WENGI
Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,Balozi Tuvako Manongi.Na Mwandishi MaalumTanzania imesisitiza na kutamka bayana kwamba, majadiliano yoyote yanayohusu...
View ArticleMakamu wa Rais azindua kitabu cha Profesa Mwandosya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Dkt. Mohamed Gharib Bilal, amezindua kitabu kinachohusu Udhibiti wa Huduma za Kiuchumi Tanzania kilichoandikwa na Profesa Mark Mwandosya April 16, 2013...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA KANISA LA OLASITI NA KUZUNGUMZA NA...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha May 7,2013 alikokwenda kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea...
View ArticleWatani wetu wa Jadi Wachemsha katika World Rugby Sevens Glasgow
Timu ya taifa ya mchezo wa Rugby nchini Kenya ilichemsha vibaya katika michuano ya Rugby sevens iliyofanyika katika uwanja wa Scotstoun, Glasgow siku ya jumamosi tarehe 4 Mei 2013. Walipoteza 17-14...
View Article