SH. BILIONI 876.3 KUTATUA MSONGAMANO MAGARI DSM
MHE. GERSON LWENGENA IMMACULATE MAKILIKA-MAELEZOSERIKALI imesema inatekeleza miradi ya kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam yenye thamani ya sh. bilioni 876.336 katika...
View ArticleArticle 17
Aga Khan Health Centre - Mbezi BeachOpening Soon at Shamo TowersTelephone: +255 788 928 073Email: mbezi.centre@akhst.org
View ArticleProf. Mwandosya azindua kitabu cha Marekebisho na Udhibiti wa Sekta ya Umeme...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiekuwa na Wizara Maalum,Profesa Mark Mwandosya (katikati) akizindua kitabu kinachokuhusu Marekebisho na Udhibiti wa Sekta ya Umeme barani Afrika kilichoandikwa na ndugu...
View ArticleBalozi wa Norway Nchini Bi. Ingunn Klepsvik atembelea Chuo cha Ufundi Arusha
Balozi wa Norway Chini, Bi. Ingunn Klepsvik akipokea maelezo mafupi kuhusu Maabara ya Upimaji Udogo Balozi wa Norway Chini, Bi. Ingunn Klepsvik akipokea zawadi ya bangili Mkuu wa Chuo cha Ufundi...
View ArticleWasanii wa kizazi kipya wang'arisha tamasha la Airtel yatosha Mbagala
Wasanii wa kundi la Wanaume Halisi wenye makazi yao Jijini Dar es salaam Temeke wakiongozwa na Juma Nature wakipanda jukwaani kwa ajili kutoa burudani mfululizo wakati wa mrindomo wa tamasha maalum...
View ArticleCHUO CHA KIU-DCC KUSIMAMISHWA KUTOA MAFUNZO YA SHAHADA ZA UZAMILI NA UZAMIVU
Kampala International University, Kampasi ya Dar-es-Salaam (KIU-DCC) kilichopo Gongo la Mboto, Dar-Es-Salaam ni Chuo kilichopewa idhibati na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU). Kufuatia kuendesha...
View ArticleMH. PINDA AWAFARIJI WALIOJERUHIWA KWENYE TUKIO LA BOMU JIJINI ARUSHA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa pole baadhi ya majeruhi wa bomu la kutupwa kwa mkono lililolipuka katika kanisa Katoliki la Olasiti Arusha wakati alipowatembelea kwenye hospitali ya mkoa wa wa...
View ArticleWazee wa Feva mmemuona huyu jamaa??
Kamera ya Globu ya Jamii,imemnasa mtu huyu ambaye ni omba omba akiwa amekaa katikati ya barabara ya Bagamoyo karibu kabisa na eneo la Victoria jijini Dar es Salaam, akiomba kwa watu wanaopita na...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI KUFANYIKA MKOANI RUKWA
Na: Eliphace Marwa – Maelezo CHAMA cha wauguzi Tanzania kinatarajia kufanya maadhimisho ya siku ya waaguzi duniani mei 12 ambapo kitaifa yatafanyika mkoani Rukwa.Akizungumza na waandishi wa habari jana...
View ArticleWateja wa benki waanza kuelimishwa kunufaika na huduma ya M-pesa benki popote
Mteja wa wa Benki ya Amana Suleiman Mahmud akielezea namna anavyoifahamu huduma ya kutoa na kuweka fedha kwenye akaunti ya Benki hiyo kwa njia ya M-pesa wakati wa zoezi la kuelimisha wateja kuhusu...
View ArticleMATUKIO YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI BUNGENI DODOMA LEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wa Pili kutoka kushoto Mbarak Abdulwakil akielekea kwenye lango la kuingia kwenye Ukumbi wa Bunge kuhudhuria kikao cha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani...
View ArticleMAALIMU SEIF ATAKA WATANZANIA WASIGAWANYIKE KWA TUKIO LA BOMU ARUSHA
Mahmoud Ahmad,Arusha Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar(SMZ),Seif Sharif Hamad ametamka ya kwamba tukio la shambulio la bomu lililorushwa katika kanisa katoliki la Mtakatifu...
View ArticleMHE. UMMY MWALIMU AZINDUA MRADI WA KUWAINUA WANAWAKE KIUCHUMI NA KIJAMII...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Mhe.Ummy (katikati ) akielezea namna Wizara inavyowasaidia wanawake kujiinua Kiuchumi na Kijamii,wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Kuwainua Wanawake Kiuchumi na...
View Articlemsaada tutani: natakiwa nirudi bongo kwa interview ya visa, je nitawini???
Kwanza shikamoo mzee wa libeneke na wadau wote walionizidi umri.Mie ni mdau mkubwa wa blog hii inayosomwa kwa wingi duniani leo nineona nami niombee msaada wa mawazo km wasomaji wengine wanaotoa...
View ArticleJK AOMBEA AMANI NA MAASKOFU, ATEMBELEA WAFIWA NA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wanajiunga na maaskofu wa makanisa mbalimbali katika kuombea amani Tanzania alipokwenda nyumbani kwa Askofu Mkuu wa Katoliki Jimbo la Arusha...
View ArticleCHUO CHA DIPLOAMSIA KUIMARISHA IDARA YA LUGHA ZA KIGENI CHUONI HAPO
Mshindi wa lugha ya kifaransa Eric Ngilangwa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na ushindi wake huo unaompa fursa ya kwenda nchini ufaransa kujifunza zaidi lugha hiyo, eric...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MBEYA APOKEA TUZO ZA SAFARI LAGER KWA SHANGWE
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akimkabidhi rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulia) Tuzo za Bia ya Safari Lager ilizoshinda katika mashindano ya Bia Afrika...
View ArticleMIKOA YATAKIWA KUCHEZESHA COPA COCA-COLA WILAYANI
Vyama vya Mpira wa Miguu vya mikoa vinatakiwa kuendelea na mashindano ya Copa Coca-Cola yanayoshirikisha watoto wenye umri chini ya miaka 15 katika ngazi ya wilaya wakati vikisubiriwa vifaa na fedha za...
View Article