MKUTANO WA 39 WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA NSSF WAFANYIKA MJINI BAGAMOYO
Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau akizungumza wakati wa Mkutano wa 39 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi...
View ArticleRAIS KIKWETE AMPOKEA RAIS WA SERIKALI YA MPITO YA MADAGASCAR ALIETUA DAR...
Rais Dkt . Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar Mhe. Andry Rajoelina aliyewasili jioni ya leo Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili hapa nchini,katika...
View ArticleHEPI BESDEI YA KUZALIWA MHE SHYROSE BHANJI LEO
Leo ni hepi besdei ya kuzaliwa Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe Shyrose Bhanji. Anamshukuru Mola kwa kumfikisha umri huo na hapo alipo. Anaishukuru pia familia yake, ndugu, jamaa na marafiki ambao...
View ArticleOfisi ya Makamu wa Rais yakabidhi Vitabu kwa Vyuo Vikuu hapa nchini.
Ofisi ya Makamu wa Rais, kwa kupitia Programu ya Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA-ISP) imekabidhi vitabu vinavyohusiana na Taarifa za Hali ya Mazingira na Mkakati wa Kitaifa wa...
View ArticleNgoma azipendazo ankal
Waasisi wa Hip Hop Bongo Kwanza Unite a.k.a KU wanakupa 'Mimi Msafiri'
View ArticleKUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII
Ankal akiwa na Dkt Licky Abdallah na mtangazaji Chacha Maginga wa TVT (siku hizi TBC1) wakati wa uchambuzi wa mechi za Kombe la Ulaya (UEFA Championship) kwenye stesheni hiyo mwaka 2004 zilizofanyika...
View ArticleMISA YA MSIBA WA MZEE ALFRED TANDAU HUKO DMV, JUMAPILI
Mzee Alfred Tandau Enzi ya uhai wakeUwezo Tandau na Andrew (K.P)Tandau waishio DMV wanawakaribisha kwenye misa ya mpendwa baba yao, marehemu Mzee Alfred Tandau itakayofanyika kesho Jumapili May 5, 2013...
View ArticleFASHION WEEK ZANZIBAR GEARS UP FOR FIRST EDITION
First-ever event celebrating local and locally inspired fashion design in Zanzibar set to premiere.The all-new Fashion Week Zanzibar will take over Zanzibar in a celebration of local fashion and...
View ArticleKUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na baraza lake la kwanza la mawaziri baada ya kuliapisha
View ArticleSemina ya maofisa wa mabenki yafana Dar es salaam
Dun and Bradstreet Credit Bureau, Ofisi ya kwanza yenye kibali cha kutunza kumbukumbu za Mikopo Tanzania, Dar es Salaam imepanga kukutana na kushauriana na watendaji wakuu wa Benki zote Tanzania katika...
View ArticleRais Kikwete apongeza wanabahari kwa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewapongeza wanahabari ,wadau wa habari na Tasnia...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR LEO
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho,ni miongozi mwa viongozi waliohudhuria katika sherehe ya kuwaapisha wajumbe wa Tume...
View ArticleDKT. MWINYI AZINDUA BODI MPYA YA NHIF
Na Grace Michael WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi amesema ni wakati muafaka sasa kwa kuwa na chombo kimoja kitakachokabidhiwa jukumu la kusimamia bima ya afya kwa Watanzania badala...
View ArticleGala Dinner ya kuadhimisha siku ya Uhuru wa Habari duniani iliyoambatana na...
Mkurugenzi wa MISA-TAN Bw. Tumaini Mwailenge akizungumza na waalikwa kwenye Gala Dinner ya kuadhimisha siku ya Uhuru wa habari Duniani iliyoenda sambamba na uzinduzi wa Mfuko wa Mwangosi utakao kuwa...
View ArticleKAMPUNI YA Dun & Brandstreet LIMITED WAKUTANA NA MAOFISA WA MABENKI KWENYE...
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Dun & Brandstreet Credit Bureau Limited Adebowale Atobatele akiongea wakati wa semina ya maofisa wa benki na taasis za fedha uliofanyika Dar es Salaam May 3 2013. Kulia ni...
View Articleutemi mwingine hata hauna maana.....
Salaam Ankal,Leo nimeudhiwa sana na Dereva wa Lori hili,aliekuwa ameegesha vibaya kwani alikuwa ameziba njia tena kwa makusudi kabisa,njia ambayo inaunganisha mitaa.halafu nilipomfata na kumuomba...
View ArticleRais Kikwete aongoza mazishi ya Marehemu Balozi Alfred Tandau
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Waziri wa Zamani wa Kazi ,Marehemu Balozi Alfred Tandau wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es...
View ArticleUK Alumni Launch Leadership Series
Mihayo Wilmore, the CEO of UhuruOne with Steve Gannon, CEO of Serengeti Breweries Ltd, at the launch of the UK Alumni in Tanzania Network's Leadership series at the British Council. Around 40 British...
View Article