JAJI MSAAFU ERNEST MWAIPOPO AFARIKI KATIKA AJALI MKOANI MOROGORO, KUZIKWA...
Na John Nditi, MorogoroJAJI Mstaafu Ernest Mwaipopo (63) amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Aprili 3, mwaka huu eneo la Kijiji cha Mkata , Kata ya Doma, Wilayani Mvomero katika barabara...
View ArticleNMB YAWAPA SEMINA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia), akizungumza wakati mkutano na wanachama wa NMB Business Club, Kanda ya Temeke, uliofanyika leo, Mbagala, Dar es Salaam. Kutoka kushoto...
View ArticleMedia Day sasa kufanyika Leaders Klabu badala ya TCC Chang'ombe
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kinasikitika kuwajulisha wadau wake kuwa bonanza la wanahabari lililopangwa kufanyika kesho viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe sasa...
View ArticleMwili wa Mhe. Jaji mstaafu, Ernest Mwipopo waagwa rasmi Leo Katika viwanja...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Jaji Mstaafu, Justice Ernest Mwipopo, aliyefariki kwa...
View ArticleKIKULETWA KUTOSHELEZA UMEME ARUSHA NA KILIMANJARO
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama (Katikati) akipata maelezo ya Kituo cha Kuzalisha umeme cha Kikuletwa kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kutoka kwa Mtaalamu wa Chuo cha Ufundi...
View ArticleBLOGERS FC YAKABIDHIWA JEZI NA SAPPHIRE COURT HOTEL YA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi wa Hoteli ya Sapphire Court ya Jijini Dar es Salaam, Abdulfatah Salim (kulia) akimkabidhi sehemu ya vifaa vya michezo, Nahodha wa timu ya wamiliki wa Magazeti 'Tando' Blogers Fc, Muhidin...
View ArticleMTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI MUSHI MAHAKAMANI
Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiongozwa na Askari polisi kuingia katika Mahakama Kuu ya Zanzibar...
View ArticleDozens crushed in India building collapse - Central & South Asia - Al Jazeera...
Dozens crushed in India building collapse - Central & South Asia - Al Jazeera English
View ArticleWabunge wapewa somo kuhusu maswala ya kupambana na Rushwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Capt (Mstaafu) George Mkuchika akifungua semina ya siku moja kwa waheshimiwa wabunge wanachama wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Rushwa Tanzania (APNAC) iliyfanyika...
View ArticleMKUTANO WA WADAU NA TANAPA KATIKA KANDA YA MOROGORO
Naibu Waziri wa Maji, Dk Binilith Mahenge, ( kushoto) akifuatilia mada moja wapo zilizowasilishwa na wataalamu wa Shirika la Tanapa ,( hawapo pichani) jana wakati wa mkutano wa wadau wa uhifadhi Kanda...
View ArticleMIKUTANO MIKUU YA MITAA- MABARAZA YA KATIBA, WILAYA YA TEMEKE
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Shimo la Udongo Kata ya Kurasini Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam, Issa Chigona akizungumza na wananchi wa Mtaa huo kabla ya kufanyika kwa mkutano Mkuu Maalum wa...
View ArticleNAPE ATINGA MOSHI JIONI HII,KUUNGURUMA KESHO
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni hii kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo mjini Moshi. Kesho Nape...
View ArticleWatu zaidi ya 40 wamekufa baada ya jengo la ghorofa nane kuporomoka India
Jengo moja la ghorofa nane linalosemekana lilikuwa likijengwa kinyume cha sheria limeporomoka na kuua watu 47 na kujeruhi wengine 70 jijini Mumbai, India siku ya Alhamisi jioni. Waokoaji wakiwa na...
View ArticleWAZIRI SAMIA SULUHU AENDELEA NA ZIARA YAKE ZANZIBAR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo kwa Mhadhiri Mwandamizi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari Dkt Narriman Jiddawi juu ya Utunzaji wa Samaki Aquarium...
View ArticleRipoti ya idadi ya watu na makazi yazinduliwa rasmi leo
Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Taifa sensa ya watu na makazi Waziri Mkuu Pizengo Pinda akijadiliana jambo pamoja na Kamishna wa Sensa ya watu na Makazi Tanzania Bara Hajat Amina Mrisho wakati wakiangalia...
View ArticleKamati ya ardhi, maliasili na mazingira yaamuru ghorofa lingine pembeni ya...
Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli. akiongea leo wakati kamati hiyo ilipotembelea eneo lilikoporomoka ghorofa mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo, akiwa...
View Articleintroducing libeneke jipya la reuben mchome wa ITV na RAdio One
Habari Wadau,Napenda kuwafahamisha juu ya Blog mpya ya Habari za michezo na burudani kwa ujumla wake. Humu utapata updates za mambo mbalimbali kitaifa ikiwa ni habari kutoka karibu mikoa yote ya...
View Articlehifadhi ya taifa ya serengeti yakaribisha utalii wa ndani
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ni eneo kubwa la savana na misitu Kaskazini mwa Tanzania ikitapakaa katika mikoa ya Mara na Arusha. Eneo lake ni kilomita za mraba 14,763 na kijiografia inaendelea...
View Article