TAMASHA LA PASAKA ZSSF YAICHAPA NSSF 4-2 KATIKA SOKA
Waziri wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman akisalimiana na wachezaji wa ZSSF kabla ya mchezo wao na NSSF.. Waziri wa...
View ArticleDk. Harrison Mwakyembe kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza la vyombo vya habari
WAZIRI wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza la vyombo vya habari linaloandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA). Bonanza hilo...
View ArticleBenki ya Afrika Tanzania yaahidi misaada zaidi CCBRT
Mkuu wa Shughuli za Biashara za Kibenki wa Benki ya Afrika Tanzania, Bw.Wasia Mushi (kushoto) akigawa chakula kwa wagonjwa wa hospitali ya Walemavu ya CCBRT ya jijini Dar es Salaam Jumatatu ya Pasaka....
View ArticleVodacom Foundation yasaidia Ujenzi wa Kituo cha Afya Pemba
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof; Makame Mbarawa akipokea kutoka kwa Mkuu wa Mfuko wa Vodacom wa Kusaidia Jamii - Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule mfano wa hundi yenye thamani...
View Articlemafunzo ya siku mbili ya Sayansi ya Michezo yanayoendeshwa leo jijini dar na...
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Ndugu Leonard Thadeo katikati akizungumza na washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya Sayansi ya Michezo yanayoendeshwa na wataalam wa Michezo kutoka katika...
View ArticleMKUU WA JESHI LA MAGEREZA AZINDUA JUKUMU LA USAFIRISHAJI MAHABUSU KUTOKA...
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja, akikata utepe kuzindua rasmi jukumu la kuwasafirisha Mahabusu kutoka Gerezani kwenda Mahakamani na kurudi Gerezani kwa Mkoa wa Arusha....
View ArticleAirtel named most Socially Responsible Company in Niger
Airtel Niger’s Regulatory Director, Mr. Karimou Salifou, receives the award from Salifou Labo Bouche, Minister of Communication and New Technologies. Bharti Airtel (“Airtel”), a leading...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA WA KIFO CHA KANUMBA KUFANYIKA JUMAPILI LEADERS CLUB
Familia ya Kanumba inawakaribisha katika kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha marehemu Steven Kanumba itakayofanyika Leaders Club Jumapili hii tarehe 7 /04/ 2013 kuanzia saa 8 mchana.Kutakuwa na...
View ArticleVIWANGO VIPYA VYA USAFIRI WA DALA DALA NA MABASI TOKA SUMATRA
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imekamilisha mchakato na kuridhia viwango vipya vya nauli kwa ajili ya usafiri wa mijini na usafiri wa kwenda mikoani. Viwango hivi vipya...
View ArticleDc Kilwa aagiza watendaji kutoa huduma kwa jamii kwa Muda Muafaka
Na Abdulaziz,LindiMKUU wa wilaya Kilwa Mkoani Lindi Mhe Abdallah Ulega (pichani juu) ameeleza kuwa wakati umefika sasa kwa watendaji na viongozi wa umma kufanya kazi ya kuwahudumia wananchi bila...
View ArticleNgoma Azipendazo Ankal
Kataa ama kubali lakini ngoma ya 'Georgina' ya Marijani Rajabu wakati huo akiwa na wana Sokomoko Safari Trippers ndio wiimbo wa Taifa wa maraha kwa watanzania.
View ArticleMKATABA WA SILAHA WAPITISHWA NI KWA KUPIGIWA KURA
Na Mwandishi Maalum Hatimaye, Mkataba wa Kimataifa wa kudhibiti Biashara ya Silaha, (ATT) ambao wiki iliyopita ulishindikana kupitishwa kwa kauli moja baada ya Ujumbe wa Syria, Korea ya Kaskazini...
View ArticleVodacom yazidi mwaga mahela kwa wateja wake
Meneja uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akiongea kwenye simu na mmoja wa washindi aliejishindia shilingi Milioni moja katika Promosheni ya”MAHELA”inayoendeshwa na kampuni...
View Articlekongamano la kujadili rasimu ya sera ya manunuzi lafanyika jijini dar
Kamishna wa Idara ya Sera ya manunuzi ya umma kutoka wizara ya Fedha Dk. Frederick Mwakibinga (kulia) akiongea jambo na Clemence Tesha ambaye ni mjumbe wa kamati ya sera ya manunuzi wakati wa kongamano...
View ArticleMAOFISA WA JESHI LA RWANDA,GHANA WATEMBELEA TBL DAR
Mpishi wa Bia wa kampuni hiyo, Kelvin Nkya, akiwapatia maelezo maofisa wa majeshi ya Rwanda na Ghana, kuhusu idara mbalimbali za uzalishaji walipotembelea kiwanda cha bia cha Kampuni ya Bia Tanzania...
View Article