tabia ya kula kula hovyo ni hatari kwa afya yako,chukua tahadhari..!
Baadhi ya Wakazi wa jiji la Dar wako kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na magonjwa mbalimbali milipuko ikiwemo homa ya matumbo,kufuatia kuwa na tabia ya kula kula vyakula ambavyo haviko katika...
View ArticleMKURUGENZI MPYA WA FES YA UJERUMANI AJITAMBULISHA MAKAO MAKUU YA CCM
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Oganaizesheni, Muhammed Seif Khatib akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi mpya wa Taasisi ya FES ya Ujerumani, Rolf Paasch, wakati Mkurugenzi huyo na Mkurugenzi wa zamani...
View ArticleKUMBUKUMBU
Marehemu Bwana Ali Shariff Mussa Al Shirazi,baba yetu mpendwa alifariki siku ya kama leo tarehe 5/03/1988 ameshatimiza miaka 25 tokea kufariki. Baba yetu tunakukumbuka sana kwa upendo wako na Imani na...
View ArticleAirtel "AMKA MILIONEA" zaongeza zaidi ya Milion 270
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeongeza muda wa promoshei yake kabambe ya AMKA MILIONEA pamoja na sambamba na kuongeza kiasi kikubwa cha MPUNGA ili wateja wake kuendelea kujizolea mamilioni...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KIVUKO CHA MV MUSOMA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Kivuko cha MV Musoma, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Feb 5, 2013 kijiji...
View ArticleZiara ya Naibu waziri wa Katiba na Sheria katika Mahakama za Mwanzo Jijini Dar
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuki (katikati) akiwa na Mh. Benedict Mwingwa Msajili wa Mahakama Kuu (wa kwanza kushoto) na Mh. Amiri Msumi Msajili wa Wilaya Mahakama Kuu kanda ya Dar...
View Articlebreeeking newwwzzzz:moto mkubwa wazuka na kuteketeza vifaa vya ujenzi jijini...
Msikilize Afande Kenyela akiongelea tukio zima la moto huo eneo la tukio. Baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni ya Ultimate Security wakiendelea kuzima moto uliokuwa ukiendelea kuwaka ndani ya ghala...
View ArticleFUNDI WA KUDARIZI MKAZI WA UKONGA MAGEREZA bI.MASELINA APOLINALI AJIZOLEA...
Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Tanzania,Bw.Benjamin Michael akiongea kwenye simu na mmoja wa washindi aliejishindia shilingi Milioni 5 katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni...
View ArticleMukubwa mambo safi Tamasha la Pasaka
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Solomon Mukubwa ameibuka kidedea kwa wasanii wa nje watakaoshiriki Tamasha la Pasaka mwaka huu.Mwenyekiti wa Kamati ya...
View ArticleMH LOWASSA ATOA POLE MSIBA WA BENSON MOLLEL JIJINI ARUSHA
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa pole kwa mama mzazi wa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana CCM,Marehemu Benson Mollel aliyefariki dunia katika mazingira ya...
View ArticleAngetile Osiah aitaka Serikali ikae pembeni suala la uchaguzi mkuu TFF
SAKATA la serikali kuikataa katiba ya TFF imechukua sura mpya baada ya katibu mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah kumtaka Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Amos Makala...
View Articlewaziri wa uchukuzi dkt mwakyembe atembelea mataruma yaliyoibiwa.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mkwakyembe(mwenye tai nyekundu), akiangalia mataruma 35 yaliyoibiwa kutoka katika stesheni ya Reli ya Pugu na kusafirishwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya kuja kuuzwa...
View Articleyale yaleeee:kinyesi changanyika na maji masafi Regent Estate
Wakazi wa mikocheni, eneo la Regent Estate jijini Dar es salaam wanakabiliwa na hatari ya kupatwa na magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu katika kipindi hiki cha kuelekea mvua za masika kutokana na...
View ArticleArticle 8
IMED invites applications for admission into the above course.Why choose our Certificate Program over others?· We have passionate, well trained and experienced teachers, including practicing...
View ArticleSABMILLER AFRICA APPOINTS TBL HUMAN RESOURCES DIRECTOR TO POSITION OF HUMAN...
Mr. Kenneth WanyotoTanzania Breweries Limited (TBL) Human Resources Director, Kenneth Wanyoto, has been recently promoted and appointed to the post of Human...
View ArticleBALOZI SEIF IDDI AZISHAURI BENKI ZA BIASHARA
Benki za Biashara Nchini zimetakiwa kuzingatia mahitaji ya wananchi katika kuchukuwa sarafu na noti zenye kuleta uwiano kwenye matumizi ya kibiashara. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali...
View ArticleAmerican Singer and Women's Rights Activist Maya Azucena Visits Tanzania
Maya Azucena delivers remarks during a press conference announcing her visit held at the U.S. Embassy in Dar es Salaam today March 5, 2013. Pictured left to right are Public Affairs Officer Dana L....
View Article