REMEMBRANCE
Mom, it has been eight years now since God and His angels called you away from us. We still feel the sorrow and sadness due to your absence, but we believe you are in Heaven, praying for us and guiding...
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Hakika mshumaa umezimika wakati bado mapema. Marehemu Sharo Milionea akimshikirisha Dully Sykes katika ngoma yake ya 'Chuki Bure' unathibitisha hilo. Rip Sharo Milionea. We gonna miss U forever!
View ArticleHeineken rewards best performing employees
Heineken Tanzania Team in a group photo from Right: Uche Unigwe – Country Manager Tanzania, Elizabeth Buitendijk – PA to the Country Manager and Koen Morshuis – General Manager East Africa. from left...
View ArticleUnique Model 2012 kupatikana leo Maisha Club jijini Dar
Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na watanzania wengi kutaka kujua nani ataibuka mshindi wa shindano la kumsaka mwanamitindo wa mwaka mwenye sifa za pekee nchini Tanzania (Unique Model 2012) sasa...
View ArticleWananchi wa Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa...
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mtwara Mjini wakiwa kwenye maandamano makubwa waliyoyafanya kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar! Wakazi hao wakiwa na mabango yao yenye jumbe mbalimbali kama uonavyo...
View ArticleLibeneke jipya la malumbano ya hoja
Tunaukaribisha mwaka 2013 kwa kuwaletea ubao mpya wa malumbano ya hoja:Filosofa Forum (http://www.filosofaforum.com/)Katika fani hii ya mawasiliano, iwe kwa blog za jamii, barua pepe, magazeti, tovuti...
View ArticleLast Pool And Beach Party Of the Year at Azura Beach
So grab your swimsuits and come get WeTT @ thE Last " HOT & WET POOL & BeACH Xperience @ the most beautiful AZURA Beach (next 2 kawe bridge) From 11:30am-8pm!Entry: 10,000 inclusive of Water!...
View ArticleDEATH ANNOUNCEMENT
The family of Mama Joyce Kibaja with heartfelt sadness, Announce the death of their beloved Father Dr.Julius Vincent Kibaja who passed away on 22/12/2012 at Muhimbili Hospital, His memorial ceremony...
View ArticleMAKACHERO KUTOKA DAR WATUA ZANZIBAR KUCHUNGUZA SHAMBULIO LA PAROKO
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi ZanzibarMakao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam, imetuma timu ya Makachero kuja Zanzibar kuungana na wenzao wengine wa Polisi Zanzibar katika Upelelezi wa...
View ArticleHOJA YA MDAU : Heshima ya Taifa Inadharauliwa
Mpendwa, Katika kuzingatia misingi ya nchi yangu popote pale nitakapokuwa katika ulimwengu huu; kuheshimu na kuthamini mchango wa mapambano ya mashujaa wetu katika kujikomboa kutoka makucha ya...
View ArticleWarsha kwa Maafisa wa Mipakani yafanyika Mwanza
Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akifungua Warsha kwa maafisa wa mipakani kuhusu usimamizi wa mazao na bidhaa zitokanazo na Bioteknolojia ya kisasa. Kulia ni Mkurugenzi wa...
View ArticleZuku Adds Clouds Media Group
Zuku Pay TV, the leading Pay TV provider in Tanzania, has today announced that it has added Clouds TV and Clouds FM to its local channels to its bouquet of TV channels and radio channels respectively....
View ArticleKUMBUKUMBU
Ni miaka 10 imepita tangu ulipotutoka mpendwa wetu Leutenant Colonel Jonathan Nassoro Kambi.Hatutasahau,upendo,ucheshi na busara zako daima. Unakumbukwa sana ma Mke wako Ndumiakunda,Wanao...
View ArticleMSANII RICH MAVOCAL AWASHUKURU WADAU WA MUZIKI
Msanii Richard Lusinga (a.k.a - Richie Mavoko) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati akitoa shukrani kwa niaba ya Kampuni yake ya Aljazerra Entertaiment, katika shukurani zake...
View ArticleNaibu Waziri apokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi mpya wa UNHCR nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Bibi Joyce Mends-Cole, Mwakilishi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa la...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TOKA TFF LEO
KLABU ZASUBIRI FEDHA ZAO TRA ZICHEZE LIGI KUUKlabu 14 ambazo timu zao zinashiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimesema hazitacheza hatua ya pili ya Ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Januari 26 mwakani hadi...
View ArticlePROF. BRUNO J. NDUNGURU TO BE LAID TO REST SATURDAY IN DAR ES SALAAM
PROF. BRUNO J. NDUNGURUTHE FAMILY OF PROF. BRUNO J. NDUNGURU REGRET TO ANNOUNCE THE SAD DEATH OF THEIR BELOVED, PROF. BRUNO J. NDUNGURU WHO PASSED AWAY ON WEDNESDAY 26TH DECEMBER AT AMI HOSPITAL IN DAR...
View ArticleMhe Makala akutana na viongozi wa tasnia ya filamu
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Amos Makala akiongea na Viongozi wa Mashirikisho ya tasnia ya Filamu na Muziki Jijini Dar es Slaam leo juu ya Urasimishaji wa...
View Article