Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mtwara Mjini wakiwa kwenye maandamano makubwa waliyoyafanya kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!![]()
Waandamanaji wakiwa wamekusanyika kwenye moja ya uwanja mjni Mtwara wakipinga gesi kusafirishwa kwenda jijini Dar!![]()
Baadhi ya askari wakiwa kwenye gari yao wakiangalia usalama wa hapa na pale kufuati maandamano makubwa yaliyofanywa na wakazi wa Mkoa wa Mtwara,wakipinga gesi kusafirishwa kwenda jijini Dar!