WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AHIMIZA WANA NCHI KUWA NA UTAMADUNI WA KUCHEKI AFYA...
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda amewataka Watanzania kuwa na utamaduni wa kucheki afya zao mara kwa mara wakati akiwahutubia wananchi walio hudhuria sherehe ya Krismas aliyoianda katika kijiji cha...
View ArticleTBL YAFANIKISHA UPANDAJI MITI 2600 MWANZA
Mgeni rasmi katika kampeni ya Mradi wa Upandaji Miti jijini Mwanza, Henry Mongi, akipanda mti wakati wa kampeni hiyo katika moja ya mitaa ya jiji hilo.Anayeshudia kulia ni Afisa Ubora wa Kampuni ya...
View Articleankal alia na gundu la bwawa la maini
Dah! Hata sijui niseme nini. Kuhama sihami (kwangu Bwawa ni kama kabila, sio dini ama utaifa) lakini hamu sina kwa jinsi gundu linavyotuelemea Bwawa la Maini, kiasi hata kuangalia mechi siku hizi ni...
View ArticleWaziri Kabaka miradi mikubwa ya ujenzi inayofanywa na African Barrick Gold...
Waziri wa Ajira na Kazi, Gaudensia Kabaka (katikati), akitembelea moja ya miradi mikubwa ya ujenzi wa shule inayotekelezwa na mgodi wa North Mara unaomilikiwa na kampuni ya African Barrick Gold (ABG)...
View ArticleMKUTANO WA EWURA NA JUKWAA LA WAHARIRI WAFANA DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu (kushoto), Haruna Masebu akielezea utendaji wa mamlaka hiyo wakati wa mkutano wa pamoja na wajumbe wa Jukwaa...
View ArticlePresident Kikwete has sent a congratulatory message to H.E. Shinzo Abe
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.E. Shinzo Abe, the new Prime Minister of Japan. The message reads as follows:“His...
View Articlevigogo barabarani
Globu ya Jamii leo imepita mitaa ya Kinondoni Mkwajuni karibu na ile Bar ya Masai na kukuta vigogo vimewekwa katikati ya barabara kwa madai ya kuzuia magari yanayokwenda kasi.sasa sijui utaratibu huu...
View ArticleRidhiwani, Mkurugenzi Maelezo kunogesha mkutano TASWA
MAANDALIZI ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) yanaenda vizuri na wajumbe wanatarajiwa kufika Bagamoyo Ijumaa Desemba 28, 2012 mchana kwenye hoteli ya Kiromo...
View ArticleNBC Managing Director, Lawrence Mafuru Resigns
Dar es Salaam December 27, 2012.NBC Tanzania wishes to confirm that after serving the bank as Managing Director since 1 June 2010, Lawrence Mafuru has with effect from 31 December 2012 decided to leave...
View ArticleNSSF Yasherehekea Krismas na Watoto jijini Dar
Ofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Hadija Komba (kulia), akigawa zawadi ya madaftari kwa washindi wa shindano la kuvuta kamba kwa niaba ya watoto waliokuwepo kwenye Bonanza la...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA JUU YA MAAMUZI YA BARAZA LA MADAKTARI KUHUSU MADAKTARI...
Kutokana na mgomo wa madaktari uliotokea kati ya tarehe 23 na 29 mwezi juni 2012.Wizara iliwasilisha malalamiko kwenye Baraza la madaktari Tanganyika ili lifanye uchunguzi kuhusu madaktari hao .Idadi...
View ArticleINTRODUCING “MZURI” BY DAD DADYZ NEWEST RnB TRIO FROM A-TOWN
Mara nyingi ukisikia nyimbo kutoka Arusha huwa inakuwa ni Hip Hop.Vijana kutoka katika jiji hilo lililopo kaskazini mwa Tanzania na ambalo mara nyingi limekuwa likiitwa “Geneva Of Africa”, wamekuwa...
View ArticleUCHAGUZI UVCCM KATA YA KAWE SASA MOTO, AMANI NKURLU NAYE AGOMBEA NAFASI YA...
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa UVCCM kata ya Kawe Amani Nkurlu (kulia) akirudisha fomu ya kugombea nafasi hiyo kwa Katibu wa UVCCM kata ya Kawe Bi. Aisha Katundu. Katibu wa UVCCM kata ya Kawe Bi. Aisha...
View ArticleIBF YAMPONGEZA BINGWA MPYA WA AFRIKA, GHUBA YA UAJEMI NA MASHARIKI YA KATI...
Shirikisho la Ngumi la Kimataifa (IBF) limepongeza bingwa mpya wa uzito wa Super Middle katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki yaa Kati, Mtanzania Francis Cheka, pichani juu.Katika barua...
View ArticleE24 NEW YEAR’S EVE PARTY
Banana Zorro and the Flamboyant B Band to set off the 2013 fire works @ East 24 Bar. Free Champaigne & snacks on the house at 12m, access to roof-top for the best view of all fireworks in the city....
View Articlekumbukumbu
LENDA SILAS MABECHE03/06/1970 - 28/12/2008siku ,wiki,miezi na sasa ni miaka 4 tangia ututoke 28-12-2008,unakumbukwa sana na baba yako Silas Mabeche, Mama yako Grace Sambay,wadogo zako...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Gloria Gaynor na ngoma yake ya 'I Will Survive' anakumbukwa vichwani mwetu hadi leo kwa ukali wake...
View Article