JK mgeni rasmi mtanange wa watani wa jadi mbugani serengeti
Rais Kikwete akiwa mgeni rasmi katika mpambano wa soka wa ujirani Mwema kati ya mahasimu wakubwa katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti, hoteli za kitalii za Four Seasons Safari Lodge na Serena Serengeti...
View Articlebaba bora.....
Mkazi wa jiji la Dar es Salaam alietambulikwa kwa jina la Saidi Mustafa,akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mwanae mgongoni aitwae Bakari kama alivyokutwa maeneo ya Kinondoni B,jijini Dar es Salaam...
View ArticlePadri apigwa risasi na watu wasiojulikana Zanzibar
Padri Ambros Mkenda akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja akipatiwa matibabu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akitaka kuingia ndani ya nyumba yake huko Mpendae Mjini Zanizibar....
View ArticleHOJA YA MDAU: UFAHARI WA KWENYE MISIBA UONESHENI KATIKA UGONJWA WA MZEE SMALL
Staa wa Vichekesho na Filamu Bongo, Said Mohamed Ngamba ‘Mzee Small’ akiwa amelazwa hospitali kutokana na maradhi yanayomsumbua.KWENU mnaohusika na sanaa ya filamu Bongo. Mnajitambua sina haja ya...
View ArticleFM ACADEMIA YAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE WAKATI WA PROMOSHENI YA BIA YA WINDHOEK
Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakitumbuiza wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek uliofanyika katika ukumbi wa Alcade wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Krismasi jijini Dar es Salaam. Bendi hiyo...
View ArticleBilal Muslim Mission yawezesha watu 90 kuweza kuona wilayani Ruangwa
Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,Agness Hokororo akiwasalimia baadhi ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa macho bila malipo kwa udhamini wa Bilal Muslim Mission wilayani humo Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambae...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA RASMI KITUO CHA POLISI CHA KIBOJE ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaliminana na maofisa wa Usalama wa Wilaya ya Kati, wakati alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kufungua rasmi Kituo cha...
View ArticleSalaam za mwaka mpya toka kwa Chef Issa
MWAKA 2012 UMEKUA NI WAMAFANIKIO SANA, MWENYEZI MUNGU AMENIJAALIA MWANZO WA MWAKA KUANZISHA RESTAURANT NYUMBANI TANZANIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA KABISA PIA MWISHO WA MWAKA MWENYEZI MUNGU AMENIJAALIA...
View ArticleMigozi Supermarket yachangia ujenzi wa kituo cha polisi Unguja
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Mohamed Gharib Bilal akikabidhi cheti cha shukrani kwa Saleh Mohamed Said kutokana na msaada wake wa kufadhili ujenzi wa kituo cha polisi cha...
View ArticleWATANZANIA MBWANA MATUMLA NA MADA MAUGO WATOA VICHAPO KWA WAPINZANI WAO
Bondia Mada Maugo (Tanzania) akitangazwa mshindi baada ya kumtwanga bondia Yiga Juma (Uganda) kwa ‘Knock Out’ raundi ya kwanza.Bondia Mbwana Matumla (Tanzania) akitangazwa mshindi baada ya kumpa...
View Articleleo ni hepi besdei ya kuzaliwa mdau MEGGIE IMPOSTRA (LILIAN)
LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA MMOJA WA WADAU WAKUBWA WA GLOBU YA JAMII MDAU MEGGIE IMPOSTRA (LILIAN) WA MOROGORO. WAKATI AKISHEREHEKEA SIKU HII MUHIMU KWAKE MEGGIE ANAWATAKIA WADAU WENZIE WOTE HERI YA...
View ArticleNGOMA AZIPENDAZO ANKAL - ENZI HIZO
Mkongwe James Brown alikuwa hana mpinzani wakati huo, hasa kwa ngoma yake ya 'say it loud i'm black and i'm proud'
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, mwanadada Saida Karoli na ngoma yake ya 'Maria salome' ilileta pumzi mpya katika muziki wa Tanzania kwa sauti na midundo kutoka Bukoba.Nani anabisha?
View Articleshukurani
Ndugu wapendwa: Kwa niaba ya ndugu yetu Richard Mwandemani (DJ Rich Maka) familia yake, ndugu na jamaa, tunapenda kutoa shukran zetu za dhati kwa ushirikiano mwema mliouonyesha toka mzee wetu Edson...
View ArticleParty ya Mwaka Mpya Columbus, OHIO
Please, take note of the venue change from "Days Inn" to "Club Boomerang" to accomodate the Tanzanian & Kenyan community, together as we bring in the New Year 2013 in a unique way!!!!!!!!Don't miss...
View ArticleSIKU YA WACHAGA YAFANA SANA MJINI MOSHI
baadhi ya wanamuziki wa serengeti band ya arusha kabla ya kutumbuiza tamasha la chagga day moshi ukumbi wa kisasa wa zumbaland.mtoto akichorwa katika mashamsham ya chagga day ukumbini Zumba...
View Article