Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 116956 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI AACHANA NA MKEWE KWA KUMTUHUMU NI MCHAWI MBEYA

Mchungaji wa kanisa linalojulikana kwa jina la Calnel Centre Mchungaji Elia Ambakisye Jongo alijikuta katika mzozo mkali na aliyedai kuwa ni mke wake baada ya kumtuhumu kuwa ni mchawi.Sabina Lameck mke...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jengo jipya la kuhifadhia maiti katika hosptali ya Bombo mkoani Tanga

 Eneo maalumu kwa ajili ya kuaga mwili katika hosptali ya mkoa wa Tanga ya Bombo. Eneo la mapumziko kwa wafiwa.  jengo la kuhifadhia maiti katika hosptali ya mkoa wa Tanga ya Bombo.Picha na Dixon...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MV PANGANI II kiunganishi muhimu kati ya mkoa wa Tanga na Hifadhi ya Saadani.

 Kivuko cha Mv Pangani II ni kiunganishi kikubwa kati ya mkoa wa Tanga na hifadhi ya Saadani kwa watalii wanao toka Tanga. Ila vidumu si kwenye Landrover tuu hata huku pia . Tunajazia kidogo ....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNATAKA KUPATA KITABU CHA ERIC SHIGONGO BURE?

BAADA YA KUSUBIRIWA KWA HAMU, HATIMAYE KILE KITABU 'Kifo ni Haki Yangu' CHA MTUNZI MAHIRI WA RIWAYA NCHINI TANZANIA, Eric James Shigongo, sasa kiko tayari kuanza kuuzwa karibu yako. Mtunzi huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI ya wanyama 200 hugongwa na magari katika hifadhi ya taifa ya Mikumi...

Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii aliyeko Mikumi Morogoro.  ZAIDI ya wanyama 200 wa aina tofauti 12, katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi,kila mwaka hufa kwa kugongwa na magari katika barabara kuu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KABILA ATUA DAR MCHANA HUU KWA ZIARA YA SIKU MOJA

 Ndege iliyomchukua Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  mchana wa leo Januari 30, 2013. Kiongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ATINGA WILAYANI KAKONKO MKOANI KIGOMA, APOKEWA NA DIWANI WA CHADEMA...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwalisha kiapo cha utii Wanachama wapya 45 wa CCM mara baada ya kuwapa kadi za chama hicho kwenye mkutano uliofanyika Kata ya Kasanda, Kakonko mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt MIGIRO MKUU WA CHUO KIKUU HURIA, NYAMBACHA AWA KAMISHNA JENERALI WA JESHI...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.Taarifa iliyotolewa Dare...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

death and funeral announcement

The late Moses Tito KachimaIt is with sorrow the family of Moses Tito Kachima announces the death of their loved one Mr. Moses Tito Kachima which occured on the 29th January 2013 at Mama Ngoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

News alert:MOTO WATEKETEZA KIWANDA CHA CHEMI COTEX DAR

Moto mkubwa umezuka na unakiunguza kiwanda cha vipodozi cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar es Salaam.Chanzo cha moto huo hakijafahamika ingawaje inahisiwa kuwa huenda ni...

View Article

WAZIRI MKUU: MTWARA CORRIDOR KUPEWA UZITO WA PEKEE

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali italipa uzito wa kipekee suala la uendelezaji wa Ukanda wa Kiuchumi wa Mtwara (Mtwara Corridor) kama ilivyo kwa Ukanda wa Kilimo wa Nyanda za Juu Kusini...

View Article

Joett - Color Me Beautiful Video TEASER

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Migiro afanya ziara wilaya mpya ya Buhigwe Mkoani Kigoma

Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kilelema kilichopo kwenye Wilaya Mpya ya Buhigwe,Mkoani Kigoma wakati wa Ziara yake ya kutembelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

kinana akagua miradi ya maendeleo ikiwemo soko la kimataifa la pamoja na...

  Katibu Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya Mpya ya Kokonko Bwa.Peter Toima (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa halmashauri ya Kibondo/Kokonko Bwa.Juma  Magango (shoto) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNIC YASHIRIKISHA VIJANA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA...

Afisa Habari Ngazi ya Taifa wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkoma akisoma ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon katika Siku ya Kimataifa ya Kuwakumbuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndizi za Buhegwa Mkoani Kigoma

Kina Mama wa Kijiji cha Mnanila kilichopo kwenye Wilaya Mpya ya Buhigwi,Mkoani Kigoma wakionekana wakifanya biashara ya Ndizi katika soko kuu la Kijiji hicho.Eneo hili ni maarufu sana kwa kilimo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kibonzo cha Kijasti Bikozi leo

View Article


LULU akiongelea maisha yake baada ya MIAKA 18 ndani ya TAKE ONE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AWAMU YA PILI MRADI WA MAZINGIRA BORA KWA ELIMU BORA.

AWAMU ya pili ya mradi wa Mazingira Bora kwa Elimu Bora, kwa kata ya Kipawa jijini Dar es Salaam inatarajiwa kuzinduliwa hapo kesho ambapo wadau mbalimbali wakiwemo Watu wa Marekani wamealikwa...

View Article
Browsing all 116956 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>