Audio zinazoambatana na habari ya Kikao cha Gesi Asilia mjini mtwara
Audio za vipindi viwili (jana na leo) vya Amka na PRIDE FM hosts ni Andrew Mturi na Sospeter Magumba KAULI YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA
View Articledeath and funeral announcement
The late Moses Tito KachimaIt is with sorrow the family of Moses Tito Kachima announces the death of their loved one Mr. Moses Tito Kachima which occured on the 29th January 2013 at Mama Ngoma...
View ArticleWanaelekea Nyumbani kwaooo.....
Baadhi ya Watoto ambao majina yao hayakufahamika mara moja,wakipita kwenye mto wakati wakielekea nyumbani kwao ambako ni ng'ambo ya mto huo,kama walivyokutwa na kamera man wetu katika moja ya Vijiji...
View ArticleTaswira kutoka bungeni dodoma
Waziri wa nchi, Ofisi ya ya Rais (mahusiano na Uratibu) na Mbunge wa Bunda Mhe Steven Wasira (kulia) akikumbatiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma...
View ArticleTaswirazz za Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma
Hizi ni baadhi ya Taswirazz za Wilayaya Mpya ya Buhigwe,Mkoani Kigoma kama zinavyoonekana hapa.
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Najua Old Skul wengi mtawakumbuka Chaka Demus & Pliers na ngoma yao ya 'Murder She Wrote'
View Articlengoma azipendazo ankal - Kizazi kipya
Ngoma ya 'Safari siyo Kifo' ya Akudo Sound ni kali
View ArticleNeno La Leo: Mwaka Ni Kama Noti Ya Elfu Kumi Ya Bongo, Ukiichenji, Inapukutika!
Ndugu zangu,Leo ni mwisho wa mwezi wa mwaka mpya. Na mwaka ulivyo ni kama noti ya shilingi elfu kumi ya Bongo. Ukiichenji tu, utashangaa inavyopukutika!Ukae sasa ukijua, kuwa kesho ndio Februari Mosi....
View ArticleTIMU YA ASHANTI BOXING YAANZA VYEMA KLABU BINGWA YA MASUMBWI
Bondia Hamisi Matunda wa Klabu ya Mashine ya Maji kushoto akipambana na Abdallah Shamte wa Klabu Ya Ashanti ya ilala Shamte aliibuka na ushindi wa TKO raundi ya pili.Bondia Hamisi Matunda wa Klabu ya...
View ArticleTAASISI YA THE JOHN MASHAKA YAWAKUTANISHA WAANDISHI NA WATU WENYE ULEMAVU...
Katibu wa Taasisi ya The john mashaka Bi, Rabia Bakari akiungumza kwa ajili ya kufungua mkutano wa waandishi wa habari na wawakilishi wa vyama vya watu wenye ulemavu ili kujadili kwa pamoja kwa ajili...
View Articlewahariri wa vyombo vya habari wapigwa msasa juu ya mkongo wa taifa leo
Na Thehabari.com VYOMBO vya habari nchi vimeombwa kutoa elimu kwa jamii juu ya manufaa ya iwepo wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano (National ICT Broadband Backbone-NICTBB) ili wananchi wauelewe na...
View ArticleSHUKRANI
Familia ya Mzee Wallace Hurbert Shundi wa Upanga, Dar es Salaam ina washukuru Ndugu, Jamaa na Marafiki na wote walioshiriki kwa hali na mali katika kuumuguza, katika mazishi na waliotufariji katika...
View ArticleWANAFUNZI wapatao 1,580 wanaosoma Shule tisa za Sekondari,wilayani Kilwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa,Addo Mapunda akitiliana saini na Bi Anne Devilliers,Mratibu wa Mradi wa mpango wa ufundishwaji wa Lugha ya Kingereza kwa njia ya teknorojia ya...
View ArticleKOCHA KIM POULSEN ATEUA WACHEZAJI 21 WA KUIVAA CAMEROON
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 21 kitakachoingia kambini Jumapili (Februari 3 mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Cameroon (Indomitable...
View ArticleDkt. Asha-Rose Migiro awaasa wananchi wa Buhigwe kuwa na mshikamano
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyangamba iliopo kwenye Kijiji cha Janda,Wilayani Buhigwe,Kigoma wakati alipoitembelea...
View ArticleMuonekano wa Mji wa Kigoma na ziwa Tanganyika mchana huu
Hivi ndivyo mji wa Kigoma unavyoonekana sambamba na Ziwa Tanganyika mchana wa leo.na kile kikwangua anga kinachoonekana ni cha Shirika la Nyumba ambacho kinatarajiwa kuzinduliwa rasmi hivi karibuni na...
View ArticleKijitonyama Sayansi kuna Mgao wa Umeme??
Uncle, Huku kwetu Kijitonyama maeneo ya Sayansi na vitongoji vyake umeme unakatwa kama vile mtu kashika remote ya kuwasha na kuzima, yaani ni hatari hata kutumia vifaa vya umeme. Ila TANESCO wamekaa...
View Articleankal akutana na mwalimu wa lugha jijini paris, ufaransa
Ankal akiwa na Mwalimu wa lugha Bi Aziza Mohamed Abubakar jijini Paris. Bofya mshale hapo chini umsikilize akiongelea kazi yake
View Article