KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (kulia) akionge na Mbunge wa Korogwe Mjini Yusuph Abdallah Nassir katika viwanja vya Bunge leo Dodoma. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa...
View ArticleKAMPUNI YA BE FORWARD YAKABIDHI ZAWADI YA GARI KWA MTEJA WAO ALIYESHINDA...
Afisa Mawasiliano wa Kampuni ya magari ya Be Forward Tanzania, Mashariki na Kati Oliver Philbert akizungumzia kuzinduliwa rasmi kwa Kampuni ya Be Forward hapa Tanzania na pia tukio la kampuni hiyo...
View ArticleKinana azindua tawi jipya la ccm na kushiriki shughuli za maendeleo ya...
katibu mkuu wa chama cha CCM, Abdurahman Kinanan akifungua pazia kuzindua tawi jipya la chama hicho ndani ya kata ya Bunyambo,Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma mapema leo jioni.Jiwe la Msingi lililowekwa...
View ArticleKUWEPO KWA USAFIRI WA TRENI YA RELI YA KATI NI FAIDA KWA WAKAZI WA VIJIJI VYA...
Hapa ni katika Kijiji cha Saranda,Mkoani Singida ambapo wananchi wa maeneo haya hufaidika sana pindi treni ya reli ya kati inapokuwa inapita katika eneo hilo kwani huwawezesha kuleta biashara zao hapo...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Mtu mzima Lionel Richie aliturusha sana na ngoma yake ya 'All Night Long' Yaani hapo YMCA ikipigwa ngoma hii ujue disco ndio limeanza...
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Kidum na Lady Jay Dee ni balaa katika ngoma yao ya kolabo
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Ngoma ya 'We are the World' kusaidia maafa yaliyotokea Haiti
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Ngoma ya 'we are the World' ya Amerika kusaidia Afrika
View ArticleDkt. Migiro azindua Mashindano ya Mpira wa Pete Mkoani Kigoma
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akisalimiana na mmoja wa wachezaji wa timu ya Mwandiga Queens wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya mchezo wa mpira wa pete (Netball)...
View ArticleKUMBUKUMBU
Mzee Mbonea Kazeni Mshana.Leo ni miaka 10 tangu ulipochukuliwa kukaa na Baba yetu wa Mbinguni Milele Tarehe 1/02/2003. Tunakumbuka, busara, hekima, kujali, malezi bora ya kwako uliyotupa. Tunakumbuka...
View ArticleMakamu Mwenyekiti wa CCM Bara awasili Mkoani Kigoma tayari kwa Maadhimisho ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM-Bara),Ndg. Philip Mangula akiteremka kutoka kwenye ndege ya shirika la Tanzania (Air Tanzania) ,kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma leo asubuhi.Ndg. Mangula...
View ArticleNSSF YAWAPA SEMINA VIONGOZI WA SACCOS JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa viongozi wa Mkoa wa DaresSalam. Kulia ni...
View ArticleHIVI NDIVYO HAFLA YA KUITATHMINI LIGI KUU YA VODACOM ILIVYOKUWA
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twissa,akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali wa michezo pamoja na wageni waaligwa wakati wa Hafla ya kuitathmini ligi kuu ya Vodacom...
View ArticleBalozi akagua Banda la utalii la TANAPA jijini Brussels
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dkt Deodorus Kamala akiongea na ndugu Crispin Mwinuka wa TANAPA akitaka kujua wanavyoendelea na kazi ya kuitangaza Tanzania Ulaya leo jijini Brussels nchini Ubelgiji
View Articlekutoka bungeni dodoma leo
Mbunge wa kuteuliwa kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi, Bw. James Mbatia, aliwasilisha hoja binafsi bungeni mjini Dodoma iliyoainisha suala zima la udhaifu uliopo katika sekta ya elimu nchini....
View Article