$ 0 0 Kina Mama wa Kijiji cha Mnanila kilichopo kwenye Wilaya Mpya ya Buhigwi,Mkoani Kigoma wakionekana wakifanya biashara ya Ndizi katika soko kuu la Kijiji hicho.Eneo hili ni maarufu sana kwa kilimo cha Ndizi.