Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 116971 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe Lowassa Anusurika Kwenye Ajali Mkoani Morogoro

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama Edward Lowassa Gari la  Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA DARASA LA MUZIKI LA THT WAKABIDHIWA VYETI BAADA YA KUHITIMU...

Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Guan Fabian, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN YAENDESHA MAFUNZO KUHUSU SHUGHULI ZA UNDAP NA HAKI ZA BINADAMU KWA...

Mratibu wa FAO Ofisi ya Zanzibar Ali Haji Ramadhan akitoa hotuba ya makaribisho katika mkutano na waandishi wa habari wa Visiwani Zanzibar ambapo amesema wanatarajia kupata mawazo mengi zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Death and Funeral Announcement

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msanii wa Filamu nchini Elizabeth Michael (Lulu) apata dhamana leo Mahakama...

Msanii wa Filamu nchini Elizabeth Michael (Lulu) akizungumza na wakili wake Peter Kibatala muda mfupi kabla ya kuanza kusikilizwa ombi lake la dhamana leo asubuhi kwenye Mahakama Kuu jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA ILALA AHIMIZA KUKAMILISHWA KWA UJENZI WA MRADI WA MAJI WA PUGU...

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akitoa taarifa wakati akizindua Mradi wa Maji Pugu Kajiungeni ambapo amesema mradi huo unatokana na kisima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mukangara atembelea Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN) jijini dar leo

Meneja Uchapishaji wa Shirika la Magazeti la Serikali(TSN) John Mcharo(kushoto) akitoa maelezo kwa Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara(wa pili kushoto) jinsi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKRETARIETI YA CCM YATEMBELEA MRADI WA DARAJA LA MAlAGARAsI MKOANI KIGOMA LEO

Ujumbe wa Sekretarieti ya CCM,ukiongozwa na Katibu Mkuu,Ndg. Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye ukiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Evans Bukuku's Comedy Club - 29th January 2013

Greetings All,Hope this email finds you all in the best of spirits!!I have attached, the poster design for the upcoming comedy show so please forward and post on your respective platforms. Please also...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

happy birthday mtoto Eskia David

FAMILIA  YA  BWANA NA BIBI DAVID  KISSENGE INAMPONGEZA MTOTO WAO  MPENDWA ESKIA DAVID KWA KUTIMIZA  MWAKA MMOJA TAREHE 27.01.2013, MWENYEZI MUNGU  AMJALIE AFYA NJEMA, HEKIMA, BUSARA NA MIAKA MINGI...

View Article

manufaa na faida ya gesi kwa wananchi wa lindi na mtwara

SERIKALI imetaja manufaa na faida ambazo wanatarajia kuzipata wananchi wa Mtwara pamoja na Lindi endapo gesi itasafirishwa kwenda Jijini Dar es Salaam.Imesema Mkoa wa Mtwara ndipo utakapo jengwa mtambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ayoub mzee with Palestine leader Mahmood Abbas

Ben TV's reporter Ayoub  mzee with  Palestine  leader Mahmood  Abbas.Chairman of the Palestine Liberation Organization and President of the  State of Palestine Mr Abbas on Sunday attended the African...

View Article

ngoma azipendazo ankal - enzi hizo

Ngoma ya I Am A Disco Dancer  iliyomtoa Mithun Chakraborty mwaka 1983 ilitamba sana enzi za picha za kihindi katika kumbi za sinema za Cameo, Odeon, New Chox  na Avalon ambazo siku hizi ni marigiyo...

View Article


ngoma azipendazo ankal - Kizazi kipya

Ngoma ya 'Mtu Pesa' ya Twanga Pepeta itabakia mojawapo ya Classic ya bendi hiyo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA WANATAALUM WA KIISLAM TANZANIA (TAMPRO) NA WANAZUONI WA KIISLAMU...

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu (Hayat-ulamaa) Shk. Suleiman Amran Kilemile Akitoa Nasaha Juu ya Umuhimu wa Waislam Kiimarisha utekelezaji wa Ibada ya Kutoa Zakat kwa Makundi yaliyotaja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABIRIA WAITAKA SUMATRA KUFANYA UKAGUZI WA MARA KWA MARA

Mahmoud Ahmad ArushaBaadhi ya Abiria wanaosafiri na mabasi kwenda mikoani wameitaka mamlaka ya usafirishaji majini na nchi kavu Sumatra kuangalia wezekano wa kuwa na ukaguzi wa mara kwa mara kwenye...

View Article

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUANO YA KINONDONI MEYA CUP YASHIKA KASI

Manispaa ya Kinondoni ni moja ya wateja wakubwa wa NMB lakini pia Manispa ya kinondoni inaongoza kwakua na wakazi wengi zaidi ya manispaa nyinginezo. Hivyo basi kwa kulizingatia hili na kuendelea...

View Article

WIZARA ITASHIRIKIANA NA WADAU KUTATUA MIGOGORO YAUHIFADHI WILAYANI LOLIONDO -...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VURUGU NA UHARIBIFU MTAA WA ISENGO KATA YA IZIWA. MBEYA

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA ATHUMANI DIWANI ENEO LA TUKIOWANAKIJIJI ISENGO IZIWA WAKIWASIKILIZA WANAUSALAMA HUKU WAKIWA NA SIRAHA ZAO ZA JADICHANZO CHA MAJI IZIWAMAMA WA KISAFWA AKIWA AMEFICHA...

View Article
Browsing all 116971 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>