$ 0 0 FAMILIA YA BWANA NA BIBI DAVID KISSENGE INAMPONGEZA MTOTO WAO MPENDWA ESKIA DAVID KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA TAREHE 27.01.2013, MWENYEZI MUNGU AMJALIE AFYA NJEMA, HEKIMA, BUSARA NA MIAKA MINGI YENYE KUMPENDEZA MACHONI PA BWANA