‘ENTERTAINMENT EXTRAVAGANZA’ ON CHANNEL O’s TOP 10 MOST…
Channel O VJs Denrele and Jokate are keeping the fire blazing on the Original African channel’s ultimate countdown, the recently launched Channel O’s Top 10 Most… The show is all about who is at the...
View ArticleIjumaa hii isumba lounge, Night of the Legends vunja jungu special.
Ijumaa hii isumba lounge, Night of the Legends vunja jungu special. Njoo tu-dance tu-enjoy na DJ JD, DJ Fast Eddy na DJ Y Kelvin. Jmos gentlemen watapata nonstop cd na 50 ladies wataofika kabla ya saa...
View ArticleVIWANJA VINAUZWA JIJINI MWANZA
Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University. Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95 na 96 kama vinavyoonyeshwa katika...
View ArticleVIJIMAMBO KURUSHA LIVE MIAKA 3 YA VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA...
10:00 am - 5:00 pm Vazi la Kitanzania7:00 pm - 3:00 am Vazi lolote lakini uwe umependezaBURUDANI ZOTE NI KATI YA 10:00 AM - 5:00 PMUSIKU NI CHAKULA NA MUZIKI WA DISKO TU.Chakula cha mchana Kuanzia...
View ArticleWAZIRI FENELLA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA UNESCO
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania Bibi Vibeke Jensen kulia alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini...
View ArticleWateja Airtel sasa kujishindia Nyumba 3 za kisasa kupitia huduma ya YATOSHA
Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiwaonyesha waandishi wahabari (hawapo pichani) nyumba watakayojishindia washindi wa AirtelYatosha Shinda Nyumba 3 iliyozinduliwa leo katika ofisi za...
View ArticleTamasha la filamu Grand Malt lazua mambo jijini mwanza.
WASANII mbalimbali wanaojitokeza katika Tamasha la Wazi la Filamu la Grand Malt Tanzania, maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’ linalofanyika katika Uwanja wa Nyamagana, jijini hapa...
View ArticleTAARIFA ZA MICHEZO KUTOKA TFF LEO.
WARUNDI KUCHEZESHA MECHI YA STARS.Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Burundi kuchezesha mechi ya kwanza ya mchujo ya Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani...
View ArticleSJMC,TASWA kuendesha mafunzo kwa waandishi habari za michezo
SHULE Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) wataendesha mafunzo...
View Articletamasha la mafundisho ya afya ya uzazi yaendelea mkoani Iringa.
Pichani ni Muuguzi wa UMATT,Bi.Mery Biseko akionesha namna ya kutumia Kondom za kike kwa vijana mbalimbali (hawpao pichani) waliojitokeza katika tamasha la mafundisho ya afya ya uzazi yanayoendelea...
View ArticleHUDUMA NA BIDHAA ZITOLEWAZO NA TTCL ZAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA SABASABA
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimsikiliza Afisa Biashara wa Mkongo wa Taifa Bw. Thomas Lemunge wakati alipotembelea banda la TTCL katika Maonyesho ya 37 ya...
View ArticlePresident Kikwete has sent a congratulatory message to H.E. Barack Obama,...
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.E. Barack Obama, President of the United States of America on the occasion of the...
View ArticleWANAFUNZI CHANGAMKIENI OFA YA LAPTOP KUTOKA VODACOM NA MODEM YENYE GB6
Meneja Mauzo ya ziada wa Vodacom Tanzania Liginiku Millinga (kulia) akionesha moja ya kompyuta mpakato (Laptop) wakati wa hafla ya uzinduzi kati ya kampuni ya Red Dot na Vodacom ambapo sasa wateja...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AONGOZA MAZISHI YA DIWANI CHONANGA IRINGA, AJITOLEA...
Msaidizi wa askofu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya Iringa Blaston Gavile akiendesha ibada ya mazishi ya diwani Chonanga leo makaburi ya Mtwivila mjini Iringa....
View ArticleMASHINDANO YA POOL MKOA WA PWANI YAFUNGULIWA
Mchezaji wa timu ya Flamingo,Jamali Ngoma akicheza pool wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Safari Lager National Pool Championship 2013 mkoa wa Pwani yaliyofanyika kwenye Baa ya Kontena...
View ArticleUmeona hii??
Kamera ya Globu ya Jamii,mchana wa leo imeinasa taswira hii ya Mdau akiwa kaweka kishoka barabarani katika kijiji cha Mbwewe,Wilayani Handeni huku akiwa hana wasiwasi wowote kana kwamba kaweka kishoka...
View Article